Press Conference ya Mwigulu ilikuwa ni ya kimkakati

Press Conference ya Mwigulu ilikuwa ni ya kimkakati

Nawasalimu sana wakuu,

Nimemsikiliza Mwigulu kwa umakini sana juu ya kile alichokiita ufafanuzi wa serikali juu ya tozo. Kwanza amerudia kauli zilezile alizozoea kuzitoa lakini ukichunguza kwa undani zaidi, yeye alikuja kimkakati kuweka geresha kwa watz juu ya uagizaji wa mabasi 60 kampuni ya Ester Luxury.

Na Kuhusu mawaziri aliowaalika kwa kile alichokiita ufafanuzi wa serikali juu ya tozo, nao ulikuwa mkakati tu. Kwanza, ni nani alisema ameagiza hayo mabasi kwa tozo? Tumsaidie Rais.
Inafikirisha, ngoja nitafakari kdg.
 
Kiongozi tuliyenaye hatoshi kwenye nafasi aliyopo.
Halafu eti wanampigia chapuo aendelee mpaka 2030!! Kuna mambo yanastaajabisha sana. Si ataidumbukiza kabisa nchi shimoni!!!
 
Hamna kitu kibaya kama kumuamini mtu ambaye hakuamini.
 
Back
Top Bottom