The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Aliye iloga Tanzania kafa. Nchi hii imegeuzwa kichwa cha mwenda wazimu Kabisa.
Hawa watendaji wa Serikali siyo kwamba hawajui Kazinila wameamua Kula kulingana nanurefu wa kamba Zao.
Unjanja unjanja mwinginwa kumwona kila mtanzania ni mkinga.
TANESCO Sisi tunataka umeme hizo hesabu zenunza megawat hatuzitki.
Leteni press relaease ambazo kila mtu ataelewa na siyo kumchanganya.
Tunachotaka ni umeme es uhakika,bhizo hesabu za MW pigeni Huko ofisini kwenu Sisi hatuelewi.