Aliye iloga Tanzania kafa. Nchi hii imegeuzwa kichwa cha mwenda wazimu Kabisa.
Hawa watendaji wa Serikali siyo kwamba hawajui Kazi ila wameamua Kula kulingana na urefu wa kamba Zao.
Unjanja unjanja mwingi wa kumwona kila mtanzania ni mjinga.
Leteni press relaease ambazo kila mtu ataelewa na siyo kumchanganya.
Tunachotaka ni umeme wa uhakika,hizo hesabu zenu Za MW pigeni Huko ofisini kwenu Sisi hatuelewi.