Press ya Roma inaanza saa ngapi?

Press ya Roma inaanza saa ngapi?

kila kitu kiko wazi iyo press nibkupotezeana mda tu
 
Utasubiri sana,ni kama kusubiri ujio wa pili wa Messiah.
 
Mtu aliyetekwa,watu wamemlilia na kumtafuta,anapata ukombozi anapatikana halafu anaulizwa ilikuaje anasema ntaongea wiki ijayo..!
Kweli watanzania tumefanywa wajinga hasa
Mkuu huyo Roma anapitia kwenye kipindi kigumu sana usimlaumu wewe hujui madhira na maumivu alopitia huko alikotekwa.
Kitu cha msingi ni usalama kwanza.
 
Roma ukweli wote kashamwambia mkewe. Wengine tusubiri taarifa ambayo iko edited
 
Usanii tu watu wanatafuta kiki za kisiasa wakishirikiana na hawa wcb walioanza kupoteza umaarufu nchini hizi ni mbinu zakutaka kurudi maskioni mwawatu.kila nyimbo wanazotoa zinabuma walijaribu kutoa video walioshirikiana na yule mmarekani imebuma izi ni mbinu chafu tu
Chuki zako kwa wasafi ziskufanye kuwa mjinga kiasi icho
 
Hakuna siri ya watu wawil au zaidi ya mtu mmoja..walitekwa 4 lazima kuna mmoja atakuja ongea ukweli wote. Tujipe mda....
 
Yani wote mnaosema Roma kajifanyisha sijui kutengenezesha script wote ni ma fa fa fa fa fa fa
 
Back
Top Bottom