Hii nchi ni yetu sote, lakini hawa walevi wanajifanya miungu watu!...Wajue tu kuwa hii nchi si ya kwao peke yao.
Mkuu huyo Roma anapitia kwenye kipindi kigumu sana usimlaumu wewe hujui madhira na maumivu alopitia huko alikotekwa.Mtu aliyetekwa,watu wamemlilia na kumtafuta,anapata ukombozi anapatikana halafu anaulizwa ilikuaje anasema ntaongea wiki ijayo..!
Kweli watanzania tumefanywa wajinga hasa
Ni wakatoliki na sio wakatorikiUtasubiri sana, ushaambiwa Roma mkatoriki, wakatoriki huwa hawaongei
Chuki zako kwa wasafi ziskufanye kuwa mjinga kiasi ichoUsanii tu watu wanatafuta kiki za kisiasa wakishirikiana na hawa wcb walioanza kupoteza umaarufu nchini hizi ni mbinu zakutaka kurudi maskioni mwawatu.kila nyimbo wanazotoa zinabuma walijaribu kutoa video walioshirikiana na yule mmarekani imebuma izi ni mbinu chafu tu
Nashukuru hata mi nilikuwa najiuliza ni r au l...Ni wakatoliki na sio wakatoriki
Hata hiyo kuchechemea ipo kwenye hiyo script yao.Roma karudi anatembea akichechemea kama mtu aliyetailiwa leo, bado mnasema ati alikua aandika script.....!
Ww pia kama unaamini roma alitekwa yaaan ww ni fe fe fe fe fe fe feliyaaaaaaYani wote mnaosema Roma kajifanyisha sijui kutengenezesha script wote ni ma fa fa fa fa fa fa
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Najaribu kuwaza akija na mkuu mwenye mkoa wake waandishi watafanyaje