INAUZWA Pressure cooker la umeme

INAUZWA Pressure cooker la umeme

ubuntuX

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
1,977
Reaction score
2,200
Dunia inarahisisha mambo!
Sasa unaweza pika chakula chochote Kwa haraka na gharama nafuu sana kuitumia pressure cooker ya kisasa.

Pika Maharage, mboga na nyama aina zote Kwa haraka na gharama nafuu sana.

Ni rahisi kutumia na salama zaidi.

Bei ni 95,000Tsh
Call 0788622610
Tupo Aggrey/Ndanda Kariakoo.

PXL_20230802_092803042.jpg
PXL_20230802_092621102.jpg
PXL_20230802_092549906.jpg
 
Huna microwave mkuu?
Mkuu nitoe ushamba hivi microwave unachemshi(kupikia) na maharage!?

Microwave inafanya kazi gani za pressure cooker, hapa nataka ninunue pressure cooker kupunguza gharama za nishati haswa kwenye kupikia maharage na ndugu zake.
Microwave ninayo nikijua naweza epuka gharama za pressure cooker.
 
Microwave ni ya kupashia chakula tu, kuna baadhi zinaweza ku grill lakini kama ww ni mtu wa ku grill nakushauri chukua pressure cooker na airflyer uta save sana

Nashukuru mkuu
 
Back
Top Bottom