CPU??? Sifuri na wewe umo tukutane leo basi
Niko juu ya mnara wa simu nimeambiwa hapa ndipo network inapopatikana kwahiyo nikichoka nashuka chiniPosted via Mobile?????
My dear naona Nina kazi ya kukushusha pressure..Heeh! kumbe weye na Rose1980 ni wanaume, mmh! bahati mbaya kweli......yaani mie ktk wadada wanaonivutia humu JF nyie wawili ndio mnaongoza sasa leo nimepigwa bumbuwazi kusikia kuwa ni wanaume lol! maskini ndoto zangu zimepotea ghafla, hasa kwa wewe afrodenzi!
Love Posted via MobileMy dear naona Nina kazi ya kukushusha pressure..
Mie na bi mzuri Rose si wanaume
Bali tunapenda kujiita wanaume kwa maana yetu tunayoijua sisi..
Nimepita hapa kumwamkua mjukuu wangu Afrodenzi.
Mkimwona mumwambie babuye alipita kumkumbusha ugoro umekwisha na mkongojo umepinda.
Akisema shkamoo mwambieni nshaitikia marahaba kabla.
Narudi kitandani kukabiliana na Presha!
Niko juu ya mnara wa simu sehemu niliyokuwepo kulikuwa hamna network kwahiyo imenibidi nipande juu ya mnara wa simu ili nipate network nikichoka nashuka chini nikipata nguvu napanda tena l.o.lMy dear so wAjua niko job ...
na we uko wapi via mobile. ?
hahaha li,