Pressure ya Banana na Hafsa Kazinja...

Pressure ya Banana na Hafsa Kazinja...

Heeh! kumbe weye na Rose1980 ni wanaume, mmh! bahati mbaya kweli......yaani mie ktk wadada wanaonivutia humu JF nyie wawili ndio mnaongoza sasa leo nimepigwa bumbuwazi kusikia kuwa ni wanaume lol! maskini ndoto zangu zimepotea ghafla, hasa kwa wewe afrodenzi!
My dear naona Nina kazi ya kukushusha pressure..
Mie na bi mzuri Rose si wanaume
Bali tunapenda kujiita wanaume kwa maana yetu tunayoijua sisi..
 
Ila babu wa loliondo ana dawa ya pressure,maumivu yakizidi umuone
 
Nimepita hapa kumwamkua mjukuu wangu Afrodenzi.

Mkimwona mumwambie babuye alipita kumkumbusha ugoro umekwisha na mkongojo umepinda.

Akisema shkamoo mwambieni nshaitikia marahaba kabla.

Narudi kitandani kukabiliana na Presha!

Yaani babu pressure mpaka kitandani?
haya ngoja mi nitayarishe ugoro
ukiamka tu uanze kupunguza BP na SHELLI...
mmmhhh lol
 
My dear so wAjua niko job ...
na we uko wapi via mobile. ?
hahaha li,
Niko juu ya mnara wa simu sehemu niliyokuwepo kulikuwa hamna network kwahiyo imenibidi nipande juu ya mnara wa simu ili nipate network nikichoka nashuka chini nikipata nguvu napanda tena l.o.l
 
Back
Top Bottom