Hiyo ni Glaucoma sio ugonjwa husababishwa na muunganiko wa condition mbalimbali ambazo hupelekea kuongezeka kwa pressure ndani ya jicho na hivyo kupelekea kutokea kwa Glaucoma....
Kwa kawaida jicho huwa na presha yake maalumu ambayo hupelekea kufanya kazi, Hivyo basi kuongezeka kwa presha katika jicho huathiri mfumo mzima wa uonaji kwani baadhi ya maeneo ya jicho kama Iris... ciliary body... anterior and posterior chamber huwaaribiwa....
Condition hii hupimwa kitaalamu na njia mbalimabali kama vile Tonometry ambayo yaweza kuwa
Schiotz tonometry au Digital tonometry ambayo hubaini tatizo mfano sehemu za jicho zikiwa ngumu kama tunda la apple bhasi humaanisha mtu ana Glaucoma na sehemu zikiwa laini kama godoro bhasi humaanisha mtu hana Glaucoma...
Tatizo laweza kutibiwa kwa dawa zifuatazo iwapo hali ya jicho huridhisha;
- Diuretics kama vile furasimide kupunguza maji katika jicho
- Na dawa kama vile Mannitol, glycerol, urea, Sorbital, ethyl alcohol and dextrose zaweza tumika pia
Na kama tatizo ni kubwa sana bhasi mgonjwa atashauriwa kutolewa jicho kwa operation (Eye enucleation)
Nashukuru sana ....Ukiskia GREAT THINKERS basi you are the one mkuu. Heshima kwako.
Japokuwa in JF we dare to talk openly lakini sio kwa kuropoka tu kama wengine wanavyofanya.
Nimependa mchango wako bro. Viva.
Uwezo wa kufikiri tunatofautiana.Hebu angalia post yako na post ya pili baada yako.Kweli akili ni nywele!Si angemuuliza aliempima?
Asante Mkuu.Hiyo ni Glaucoma sio ugonjwa husababishwa na muunganiko wa condition mbalimbali ambazo hupelekea kuongezeka kwa pressure ndani ya jicho na hivyo kupelekea kutokea kwa Glaucoma....
Kwa kawaida jicho huwa na presha yake maalumu ambayo hupelekea kufanya kazi, Hivyo basi kuongezeka kwa presha katika jicho huathiri mfumo mzima wa uonaji kwani baadhi ya maeneo ya jicho kama Iris... ciliary body... anterior and posterior chamber huwaaribiwa....
Condition hii hupimwa kitaalamu na njia mbalimabali kama vile Tonometry ambayo yaweza kuwa
Schiotz tonometry au Digital tonometry ambayo hubaini tatizo mfano sehemu za jicho zikiwa ngumu kama tunda la apple bhasi humaanisha mtu ana Glaucoma na sehemu zikiwa laini kama godoro bhasi humaanisha mtu hana Glaucoma...
Tatizo laweza kutibiwa kwa dawa zifuatazo iwapo hali ya jicho huridhisha;
- Diuretics kama vile furasimide kupunguza maji katika jicho
- Na dawa kama vile Mannitol, glycerol, urea, Sorbital, ethyl alcohol and dextrose zaweza tumika pia
Na kama tatizo ni kubwa sana bhasi mgonjwa atashauriwa kutolewa jicho kwa operation (Eye enucleation)
Fanya kwenda kwa hiyo hospitali ya rufaa rafiki yako afanyiwe vipimo Mkuu....Asante Mkuu.
[emoji115] [emoji120]Hiyo ni Glaucoma sio ugonjwa husababishwa na muunganiko wa condition mbalimbali ambazo hupelekea kuongezeka kwa pressure ndani ya jicho na hivyo kupelekea kutokea kwa Glaucoma....
Kwa kawaida jicho huwa na presha yake maalumu ambayo hupelekea kufanya kazi, Hivyo basi kuongezeka kwa presha katika jicho huathiri mfumo mzima wa uonaji kwani baadhi ya maeneo ya jicho kama Iris... ciliary body... anterior and posterior chamber huwaaribiwa....
Condition hii hupimwa kitaalamu na njia mbalimabali kama vile Tonometry ambayo yaweza kuwa
Schiotz tonometry au Digital tonometry ambayo hubaini tatizo mfano sehemu za jicho zikiwa ngumu kama tunda la apple bhasi humaanisha mtu ana Glaucoma na sehemu zikiwa laini kama godoro bhasi humaanisha mtu hana Glaucoma...
Tatizo laweza kutibiwa kwa dawa zifuatazo iwapo hali ya jicho huridhisha;
- Diuretics kama vile furasimide kupunguza maji katika jicho
- Na dawa kama vile Mannitol, glycerol, urea, Sorbital, ethyl alcohol and dextrose zaweza tumika pia
Na kama tatizo ni kubwa sana bhasi mgonjwa atashauriwa kutolewa jicho kwa operation (Eye enucleation)
Mkuu kuna sababu nyingi tu kma vile;Bado sijapata sababu " Inasababishwa na nini hasa???
Kuna jamaa wa mdogo wangu alikufaga na huu ugonjwa sasa sijui kama alichelewa kutibiwa au lahHiyo ni Glaucoma sio ugonjwa husababishwa na muunganiko wa condition mbalimbali ambazo hupelekea kuongezeka kwa pressure ndani ya jicho na hivyo kupelekea kutokea kwa Glaucoma....
Kwa kawaida jicho huwa na presha yake maalumu ambayo hupelekea kufanya kazi, Hivyo basi kuongezeka kwa presha katika jicho huathiri mfumo mzima wa uonaji kwani baadhi ya maeneo ya jicho kama Iris... ciliary body... anterior and posterior chamber huwaaribiwa....
Condition hii hupimwa kitaalamu na njia mbalimabali kama vile Tonometry ambayo yaweza kuwa
Schiotz tonometry au Digital tonometry ambayo hubaini tatizo mfano sehemu za jicho zikiwa ngumu kama tunda la apple bhasi humaanisha mtu ana Glaucoma na sehemu zikiwa laini kama godoro bhasi humaanisha mtu hana Glaucoma...
Tatizo laweza kutibiwa kwa dawa zifuatazo iwapo hali ya jicho huridhisha;
- Diuretics kama vile furasimide kupunguza maji katika jicho
- Na dawa kama vile Mannitol, glycerol, urea, Sorbital, ethyl alcohol and dextrose zaweza tumika pia
Na kama tatizo ni kubwa sana bhasi mgonjwa atashauriwa kutolewa jicho kwa operation (Eye enucleation)
We ni product ya vet toka SUA lazima umeiva aisee hongeraHiyo ni Glaucoma sio ugonjwa husababishwa na muunganiko wa condition mbalimbali ambazo hupelekea kuongezeka kwa pressure ndani ya jicho na hivyo kupelekea kutokea kwa Glaucoma....
Kwa kawaida jicho huwa na presha yake maalumu ambayo hupelekea kufanya kazi, Hivyo basi kuongezeka kwa presha katika jicho huathiri mfumo mzima wa uonaji kwani baadhi ya maeneo ya jicho kama Iris... ciliary body... anterior and posterior chamber huwaaribiwa....
Condition hii hupimwa kitaalamu na njia mbalimabali kama vile Tonometry ambayo yaweza kuwa
Schiotz tonometry au Digital tonometry ambayo hubaini tatizo mfano sehemu za jicho zikiwa ngumu kama tunda la apple bhasi humaanisha mtu ana Glaucoma na sehemu zikiwa laini kama godoro bhasi humaanisha mtu hana Glaucoma...
Tatizo laweza kutibiwa kwa dawa zifuatazo iwapo hali ya jicho huridhisha;
- Diuretics kama vile furasimide kupunguza maji katika jicho
- Na dawa kama vile Mannitol, glycerol, urea, Sorbital, ethyl alcohol and dextrose zaweza tumika pia
Na kama tatizo ni kubwa sana bhasi mgonjwa atashauriwa kutolewa jicho kwa operation (Eye enucleation)
Yes yaweza sababisha kifo kama jicho limeharibika zaidi na posiibility ya kupona haipo na kuzembea kulitoa jicho kwa muda muafaka...Kuna jamaa wa mdogo wangu alikufaga na huu ugonjwa sasa sijui kama alichelewa kutibiwa au lah
Tuko pamoja mkuuWe ni product ya vet toka SUA lazima umeiva aisee hongera
Maana yangu ni kwamba, mgonjwa amepimwa akaambiwa ana tatizo fulani kwanini aondoke kajua hilo tatizo ni nini ....Uwezo wa kufikiri tunatofautiana.Hebu angalia post yako na post ya pili baada yako.Kweli akili ni nywele!
Acha niamini kwamba umeteleza leo, au simu umemwachia mtoto?Si angemuuliza aliempima?
Wala sijateleza nadhani kuongea na kuelewa ni vitu viwili tofauti....Acha niamini kwamba umeteleza leo, au simu umemwachia mtoto?