Pressure ya macho ndio nini ?

Pressure ya macho ndio nini ?

bigmash

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
416
Reaction score
421
Wadau,
Kuna jamaa yangu wa karibu leo alipima macho na ameambiwa ana pressure ya macho na amepewa rufaa kwenda hospitali kubwa zaidi kwa ajili ya vipimo zaidi, hii inasababishwa na nini na tiba yake ikoje na athari zake zipi.
 
Hiyo ni Glaucoma sio ugonjwa husababishwa na muunganiko wa condition mbalimbali ambazo hupelekea kuongezeka kwa pressure ndani ya jicho na hivyo kupelekea kutokea kwa Glaucoma....

Kwa kawaida jicho huwa na presha yake maalumu ambayo hupelekea kufanya kazi, Hivyo basi kuongezeka kwa presha katika jicho huathiri mfumo mzima wa uonaji kwani baadhi ya maeneo ya jicho kama Iris... ciliary body... anterior and posterior chamber huwaaribiwa....

Condition hii hupimwa kitaalamu na njia mbalimabali kama vile Tonometry ambayo yaweza kuwa
Schiotz tonometry au Digital tonometry ambayo hubaini tatizo mfano sehemu za jicho zikiwa ngumu kama tunda la apple bhasi humaanisha mtu ana Glaucoma na sehemu zikiwa laini kama godoro bhasi humaanisha mtu hana Glaucoma...

Tatizo laweza kutibiwa kwa dawa zifuatazo iwapo hali ya jicho huridhisha;

  • Diuretics kama vile furasimide kupunguza maji katika jicho
  • Na dawa kama vile Mannitol, glycerol, urea, Sorbital, ethyl alcohol and dextrose zaweza tumika pia

Na kama tatizo ni kubwa sana bhasi mgonjwa atashauriwa kutolewa jicho kwa operation (Eye enucleation)
 
Ukiskia GREAT THINKERS basi you are the one mkuu. Heshima kwako.

Japokuwa in JF we dare to talk openly lakini sio kwa kuropoka tu kama wengine wanavyofanya.

Nimependa mchango wako bro. Viva.
 
Hiyo ni Glaucoma sio ugonjwa husababishwa na muunganiko wa condition mbalimbali ambazo hupelekea kuongezeka kwa pressure ndani ya jicho na hivyo kupelekea kutokea kwa Glaucoma....

Kwa kawaida jicho huwa na presha yake maalumu ambayo hupelekea kufanya kazi, Hivyo basi kuongezeka kwa presha katika jicho huathiri mfumo mzima wa uonaji kwani baadhi ya maeneo ya jicho kama Iris... ciliary body... anterior and posterior chamber huwaaribiwa....

Condition hii hupimwa kitaalamu na njia mbalimabali kama vile Tonometry ambayo yaweza kuwa
Schiotz tonometry au Digital tonometry ambayo hubaini tatizo mfano sehemu za jicho zikiwa ngumu kama tunda la apple bhasi humaanisha mtu ana Glaucoma na sehemu zikiwa laini kama godoro bhasi humaanisha mtu hana Glaucoma...

Tatizo laweza kutibiwa kwa dawa zifuatazo iwapo hali ya jicho huridhisha;

  • Diuretics kama vile furasimide kupunguza maji katika jicho
  • Na dawa kama vile Mannitol, glycerol, urea, Sorbital, ethyl alcohol and dextrose zaweza tumika pia

Na kama tatizo ni kubwa sana bhasi mgonjwa atashauriwa kutolewa jicho kwa operation (Eye enucleation)
Asante Mkuu.
 
[emoji115] [emoji120]
 
Bado sijapata sababu " Inasababishwa na nini hasa???
Mkuu kuna sababu nyingi tu kma vile;
  • Mishipa inayohusika kusambaza damu katika maeneo ya juu ya sclera kuziba
  • Hydrophthalmos (mboni ya jicho kuwa kubwa kutokana na kuvutika kwa tunics)
  • Kudhoofika kwa optic disc na retina
  • Kudhoofika kwa Iris ya jicho
Hizo ni baadhi za sababu mkuu.....
 
Hiyo ni Glaucoma sio ugonjwa husababishwa na muunganiko wa condition mbalimbali ambazo hupelekea kuongezeka kwa pressure ndani ya jicho na hivyo kupelekea kutokea kwa Glaucoma....

Kwa kawaida jicho huwa na presha yake maalumu ambayo hupelekea kufanya kazi, Hivyo basi kuongezeka kwa presha katika jicho huathiri mfumo mzima wa uonaji kwani baadhi ya maeneo ya jicho kama Iris... ciliary body... anterior and posterior chamber huwaaribiwa....

Condition hii hupimwa kitaalamu na njia mbalimabali kama vile Tonometry ambayo yaweza kuwa
Schiotz tonometry au Digital tonometry ambayo hubaini tatizo mfano sehemu za jicho zikiwa ngumu kama tunda la apple bhasi humaanisha mtu ana Glaucoma na sehemu zikiwa laini kama godoro bhasi humaanisha mtu hana Glaucoma...

Tatizo laweza kutibiwa kwa dawa zifuatazo iwapo hali ya jicho huridhisha;

  • Diuretics kama vile furasimide kupunguza maji katika jicho
  • Na dawa kama vile Mannitol, glycerol, urea, Sorbital, ethyl alcohol and dextrose zaweza tumika pia

Na kama tatizo ni kubwa sana bhasi mgonjwa atashauriwa kutolewa jicho kwa operation (Eye enucleation)
Kuna jamaa wa mdogo wangu alikufaga na huu ugonjwa sasa sijui kama alichelewa kutibiwa au lah
 
We ni product ya vet toka SUA lazima umeiva aisee hongera
 
Uwezo wa kufikiri tunatofautiana.Hebu angalia post yako na post ya pili baada yako.Kweli akili ni nywele!
Maana yangu ni kwamba, mgonjwa amepimwa akaambiwa ana tatizo fulani kwanini aondoke kajua hilo tatizo ni nini ....
Na kweli tunatofautiana sana tu
 
Ni kweli Eve, kuna watu wataenda Hospital kupima wakishapewa majibu wanaondoka bila kumuuliza dokta maswali kadhaa kuhusiana na ugonjwa wake, afu ndio wanakuja huku mbio kuuliza wakati katoka kwa dr, hawajielewi hao
 
Acha niamini kwamba umeteleza leo, au simu umemwachia mtoto?
Wala sijateleza nadhani kuongea na kuelewa ni vitu viwili tofauti....
Nimesona nimeelewa rafiki ake kaenda kupimwa kakutwa na presha ya macho, kaondoka hajui presha ya macho ni nini ndo kaja kumuuliza jamaa, kwangu mie ni ajabu!!! Umepima, umeambiwa tatizo kwanini usiulize ujue kwa kina?
Labda kama mleta thread tu kaamua achomekee rafiki ila mwenyewe ametaka kujua presha ya macho ni nini .

Haina tofauti na page moja ya instagram, inahusu mambo ya uzazi, mtu anapost Dr kasema naumwa hiki naomba niulizie kwa followers wako huo ndo ugonjwa gani, serious????

Tunatofautiana...
 
Back
Top Bottom