hujaonyesha ukali,
kama mmetoka mbali,
preta kwako ni mali,
uendayo kuikosa.
mali bila daftari,
kuipoteza hiyari,
sasa jiweke tayari,
wengine shika hatamu.
wengi wetu yetu macho,Preta njoo, njoo ya rookhi njoo
Njoo nitoe changu kimaso maso
Kuna mtu mroho anataka nitoa roho
najua mimi ni wako na sina kwingineko
preta ni wangu aslani si wako
Preta hawez jib poleni kwa kupoteza mda ila inaonekana kamkubLia Vampire maana tangia preta aseme atachomolea wap. Jamaa alistuka akaenda Pm wakafanya yao.Nyie pigeni tu miluzi na makelelle...mtoto yupo gheto langu la kishua tunafanya yetu[emoji196] [emoji217] [emoji217] [emoji217]
Tafuta mwingine asee siyo preta!
Preta wa yaeda chini?Preta huyu huyu wa yaeda chini atongozwe namna hii? Nitaenda kulala kwenye road light za mianzini siku 5 bila kuamka
Umeona eeenhHapa wale madomo zege watakua wamepata kitu
Tena kwa masikio yote mawiliUmeona eeenh