Pretend This Is Google And Search For Anything. Someone Will Reply You.

1.Kazi ya mbunge ninini? na kwanini jimbo lisipokuwa na maendeleo analaumiwa mbunge badala ya serikali?

2.Serikali ni nini?

3.Kwanini wana Zanzibar wengi hawautaki muungano?

4.Nini kitatokea kama bunge lijalo likiwa na wabunge wa chama tawala pekee?
 
1- Mbunge kazi yake ni kufanya kazi za kibunge. Analaumiwa kwasababu hiyo pia ni kazi ya mbunge.

2. Serikali ni taasisi.

3. Hawataki muungano kwakua wanataka kutengana.

4. Litakua ni bunge lenye wabunge wa chama tawala pekee.
 
Aiseee [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naomba mwenye wimbo wa "teddy mwanazanzibar" aweke mp3 yake hapa
 
Back
Top Bottom