Pretty white

Pretty white

majam19

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2024
Posts
900
Reaction score
971
Jaman mi ni kijana wa kiume ni miaka mingi huwa sipaki mafuta kweny uso wangu kwasabab nilikuwa natoka vipele nikipakaa usoni Sasa nliwahi kumuuliza muuza daku la urembo,nguo,mafuta ya kupakaa mwilin akaniambia ninunue Aya mafuta Cha ajabu watu wengi wananambia ninamabadiliko usoni nimeanza kiny'aa ushaur juu wa haya mafuta please
 
taratibu kijana, huonu pretty uta kuponza
FB_IMG_17323666689288267.jpg
 
Mwanaume unapaka mafuta yanaitwa pretty white hata kama umeshauriwa wewe huwezi kuchanganua mambo?
Anyway taratibu unatoka kwenye kundi la vidume
 
Lotion za kiume

Nivea for Men...... Kuna aina zake pale kopo la blue, jeupe, dark blue

Au Vaseline unaangalia yep yanakufaa.....

Jua ngozi yako..... kama upo Dsm kapimr siku hz kuna skin care point kibao nenda hata sinza njia ya Tandale pale ndo lion sjui madukani utapata msaada na baada ya hapo utajua ni mafuta gani utatumia kupaka usoni.....

Achana na watu wenye mawazo ya kishenzi kila kitu kwao mwiko.....

Maisha hayapo hivyo!
 
Thanks

Asante sana kiongoz
 
Huyo muuzaji ni mpuuzi
Uso hauhitaji mafuta ya aina hiyo km una changamoto ya chunusi tumia moisturizer,face wash na suncreen zipp nying nzuri za kuwafaa wanaume wenye changamoto hizo
 
Back
Top Bottom