majam19
JF-Expert Member
- Nov 13, 2024
- 900
- 971
Jaman mi ni kijana wa kiume ni miaka mingi huwa sipaki mafuta kweny uso wangu kwasabab nilikuwa natoka vipele nikipakaa usoni Sasa nliwahi kumuuliza muuza daku la urembo,nguo,mafuta ya kupakaa mwilin akaniambia ninunue Aya mafuta Cha ajabu watu wengi wananambia ninamabadiliko usoni nimeanza kiny'aa ushaur juu wa haya mafuta please