Pretty white

Kuna wanaume hawajui kujipenda aisee hii mbna sio ajabu shida ni mafuta aliyopewa tu ndo maana wengi mna harufu ya changamoto πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Jirahidi kuzingatia uandishi wako, Umeandika kama mtoto wa Class7.

Ukishaandika vizuri Ni-quote nije nikushauri.

Kama umeandika hovyo hivi na dhahiri haupo serious na ulichoandika.
 
Kuna wanaume hawajui kujipenda aisee hii mbna sio ajabu shida ni mafuta aliyopewa tu ndo maana wengi mna harufu ya changamoto [emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hayo mafuta yanachubua achana nayo kabla hikawa zeruzeru
 
Hayo mafuta Ni ya wanawake, Kazi yake huwa Ni kung'arisha ngozi, na ukiweka maji yake huwa yanachubua, mafuta ya kiume yapo mengi1. Nivea men, Clair men, boss, Vaseline men, linguer, etc imekuwaje umefika hapo??????
 
Daah hatar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…