Hapo hua inawachanganya wengi tu.
Kweny Doctor Strange 2016 wakati The Ancient One anampa Stephen Sring Ring kwa mara ya kwanza alimwambia kabisa "The sring ring will help you to travel across the multiverse" and of course uliona kwenye Endgame Stephen alitumia pia sring ring kuleta watu kutoka sehemu mbalimbali kuja kupambana na Thanos.
So wali sasa kwanini asitumie ring yake kutravel kwenye MOM? Well, jibu ni kwamba steve anategemea Ring ndio asafiri ila America Chavez hahitaji kutumia ring kusafiri across the multiverse coz ndio natural power yake! Kumbuka pia steve hakusafiri kwenye multiverse kwa kupenda bali tu ni ilitokea bahati mbaya Chávez akajikuta kaactivate nguvu zake kumbuka "Fear" ndio ilikua ina unlock nguvu za chavez ndio maana walijikuta wameenda kwenye multiverse nyiingi at the same time maana ilikua uncontrollable.
Kama ingekua ni doctor strange katumia ring basi angeenda exactly kwenye universe anayotaka.
Nimekujibu??