Preview ya Black Panther Wakanda Forever 2022

Preview ya Black Panther Wakanda Forever 2022

Much appreciated Sir. I always have interesting and breathtaking work✌️.
Ref:
 
BP ndio movie inayotabiriwa kuwa na muendelezo mrefu pale Marvel
Hapana mkuu...
Muvi ambayo itakua na franchise ndefu zaidi itakua ni Thor tu. Lakini nadhani 2030 baada ya kumalizika kwa Infinity saga 2026 tutakua na character wengine wapya. Tuombe uhai na afya njema tuweze kufika huko
 
Alikuwa na maana hasa ukiangalia swala hilo la kansa. Mfano angeweka wazi asingepata deals zozote za kujiendeshea maisha yake na familia yake. Pia kumbuka dunia imejaa masnitch sana.
Kwa muono wake alikua sahihi ila upande wangu naona haikua sawa, japo tungemuombea. Ni kama tu jinsi tulivyofuchwa ugonjwa wa jpm hafu tukatangaziwa kifo chake. Sad
FB_IMG_16466388865670759~2.jpg
 
Ahaaa mpaka niangalie tena
Mi huwa nashangaa kila kitu Kenya kenya nishajiuliza swali mno nishaona kama series mbili tu wanataja Tanzania hiyo Blacklist na nyingine sikumbuki ni ipi
Ukomunisti wetu ndio unatuangusha. Ndio maana muvi za kichina na kirusi ni ngumu sana kutoboa Hollywood unless waigizaji wawe pia wa US la sivyo hazipewi airtime.
Eg. Jet lee alikua ana muvi nyingi nzuriii back then ila bado hakutoboa hollywood mpaka alipoigiza muvi ya Cradle to the grave akiwa na marehemu Aaliyah(?) na DMX. Baada ya hapo alipata international recognition muvi zake zilizofuata kama Fearless zilipata soko Hollywood. Na wazungu wakamtengenezea muvi ya Johnny Mad Dog ndio maana ikawa rahisi kupata nafasi kwenye muvi za Expendables.

Eg.2
Jackie chan pamoja na kucheza muvi zaidi ya 200 ila bado alikua hana international recognition mpaka alipocheza muvi za Rush Hour na Chris Tucker.

Kwa kulitambua hilo ndio maana wachina nao wanawapiga pini sana Hollywood kwenye Muvi zao maana US inategemea sana soko la China kwenye Cinema.
Shang Chi ilikua muvi bomba ya kichina kama ingeonyeshwa china wangepiga hela. Ila wachina waliipiga pini
 
Privacy kwenye mambo yako ni jambo zuri lakini sometimes hutakiwi kuficha mambo unayoyapitia hasa magonjwa. Chad kagundulika Ana Cancer stage 3 mwaka 2016 lakini hata hakusema popote. Kaendelea na uigizaji bila kuwaambia waandaaji wake ambapo alikua anatumia Energy kubwa ikafika hatua wakiwa kwenye mjumuiko wa watu kakaa anakua anataka kuanguka. Ila hasemi, lastly alivyoanza kukonda mwili watu wakajua tayari kajiingiza kwenye Drugs wakaanza kumsema vibaya ila hakujibu baada ya wiki kadhaa tulijuzwa tu kifo chake. Sad😢
View attachment 2401469
Ukisema kuwa kelvin Feige hakujua boss Chadwick ni mgonjwa wakati anampa kazi katika CA: CIVIL WAR napata ukakasi.
Walijua na waigizaji wa marvel.cinematic walikuwa wanafahamu kuwa ana shida ya kansa ila hawakupenda iwe public kulinda privacy yake.
Kuna interview anahojiwa kuhusu black panther 2 anasema kuwa "hajui coz anakufa"
 
Ukisema kuwa kelvin Feige hakujua boss Chadwick ni mgonjwa wakati anampa kazi katika CA: CIVIL WAR napata ukakasi.
Walijua na waigizaji wa marvel.
Mkuu Chadwick kawa casted kucheza BP mwaka 2014.
Cancer imegundulika mwaka 2016 alishashoot Civil War.

walikuwa wanafahamu kuwa ana shida ya kansa ila hawakupenda iwe public kulinda privacy yake.
Inawezekana uongozi Marvel Studios walilijua tatizo lake ila wakakaa kimya as you said lakini hatuna uhakika na hilo. Tunachojua ni kwamba viongozi wenyewe walisema hawakujua kama Chad ni mgonjwa ila ni familia yake tu ilijua.
Kuna interview anahojiwa kuhusu black panther 2 anasema kuwa "hajui coz anakufa"
Hiyo video anayosema kya anaenda kufa hii hapa. Sema jamaa alikua msiri kweli, inawezekana alikua anajua hadi miezi aliyobakiza kuishi
 
Mimi niliamua nizipange in chronological orders ili nipate muunganiko mzuri wa stori kuanzia mwanzo mpaka mwisho..
Then you did it wrong unless you want to chronological arrange phase 3.
Maana kama ungetaka kuendelea hapo ingetakiwa uongeze series za Disney+
 
Ahaaa mpaka niangalie tena
Mi huwa nashangaa kila kitu Kenya kenya nishajiuliza swali mno nishaona kama series mbili tu wanataja Tanzania hiyo Blacklist na nyingine sikumbuki ni ipi
Dunia inaendeshwa kwa propaganda,,,,...control the narative you have the power,,,,....Kenya na Nigeria ni nchi ambazo zina maslahi na wamagharibi, mambo mengine wanapindisha makusudi sio kwamba hawajui
 
Kumbe nawe ulinotice hii kitu?? Watu hua wanaangalia tu hawafuatilii details ndogondogo.
Nilinotice sana tena aliuliza Mzungu mmoja kwa kejeli...
Na halikujibiwa movie ikaisha.. nikasema em nitafute mijadala jf Holla! Quora Holla aisee nikishangaa sana
Kwa maneno sensitive vile nisikute mjadala nilishangaa mnoo
 
Then you did it wrong unless you want to chronological arrange phase 3.
Maana kama ungetaka kuendelea hapo ingetakiwa uongeze series za Disney+
How? Watching movies in Chronological order is best than Year of Release, sababu muvi unaiangalia from genesis.
 
Ahaaa mpaka niangalie tena
Mi huwa nashangaa kila kitu Kenya kenya nishajiuliza swali mno nishaona kama series mbili tu wanataja Tanzania hiyo Blacklist na nyingine sikumbuki ni ipi
Nchi maarufu kwa Africa huko duniani ni Nigeria, Kenya na Ghana.

Tanzania haifahamiki sana.

Pia, kuna watu huwa wanaona kama kuna complication Fulani kwa Tanzania hasa kuhusu Language barrier.

Ukitaka kufuatilia hilo angalia namna Wamarekani weusi wanaohamia Tanzania wanavyotoa reviews zao.
 
How? Watching movies in Chronological order is best than Year of Release, sababu muvi unaiangalia from genesis.
Mkuu nimeona umezipangalia kwa kulingana na Timeline as it is na sio kwa release date.
Lakini naona muvi zako zimeishia Phase 3.
Ndio nilikua nasema mbona hujapangilia pia phase 4 series na muvi zilizotoka.. from WandaVision to Love and Thunder??
 
Back
Top Bottom