Much appreciated Sir. I always have interesting and breathtaking work✌️.Hat off
Hapana mkuu...BP ndio movie inayotabiriwa kuwa na muendelezo mrefu pale Marvel
Kwa muono wake alikua sahihi ila upande wangu naona haikua sawa, japo tungemuombea. Ni kama tu jinsi tulivyofuchwa ugonjwa wa jpm hafu tukatangaziwa kifo chake. SadAlikuwa na maana hasa ukiangalia swala hilo la kansa. Mfano angeweka wazi asingepata deals zozote za kujiendeshea maisha yake na familia yake. Pia kumbuka dunia imejaa masnitch sana.
Ukomunisti wetu ndio unatuangusha. Ndio maana muvi za kichina na kirusi ni ngumu sana kutoboa Hollywood unless waigizaji wawe pia wa US la sivyo hazipewi airtime.Ahaaa mpaka niangalie tena
Mi huwa nashangaa kila kitu Kenya kenya nishajiuliza swali mno nishaona kama series mbili tu wanataja Tanzania hiyo Blacklist na nyingine sikumbuki ni ipi
Ukisema kuwa kelvin Feige hakujua boss Chadwick ni mgonjwa wakati anampa kazi katika CA: CIVIL WAR napata ukakasi.Privacy kwenye mambo yako ni jambo zuri lakini sometimes hutakiwi kuficha mambo unayoyapitia hasa magonjwa. Chad kagundulika Ana Cancer stage 3 mwaka 2016 lakini hata hakusema popote. Kaendelea na uigizaji bila kuwaambia waandaaji wake ambapo alikua anatumia Energy kubwa ikafika hatua wakiwa kwenye mjumuiko wa watu kakaa anakua anataka kuanguka. Ila hasemi, lastly alivyoanza kukonda mwili watu wakajua tayari kajiingiza kwenye Drugs wakaanza kumsema vibaya ila hakujibu baada ya wiki kadhaa tulijuzwa tu kifo chake. Sad😢
View attachment 2401469
Mkuu Chadwick kawa casted kucheza BP mwaka 2014.Ukisema kuwa kelvin Feige hakujua boss Chadwick ni mgonjwa wakati anampa kazi katika CA: CIVIL WAR napata ukakasi.
Walijua na waigizaji wa marvel.
Inawezekana uongozi Marvel Studios walilijua tatizo lake ila wakakaa kimya as you said lakini hatuna uhakika na hilo. Tunachojua ni kwamba viongozi wenyewe walisema hawakujua kama Chad ni mgonjwa ila ni familia yake tu ilijua.walikuwa wanafahamu kuwa ana shida ya kansa ila hawakupenda iwe public kulinda privacy yake.
Hiyo video anayosema kya anaenda kufa hii hapa. Sema jamaa alikua msiri kweli, inawezekana alikua anajua hadi miezi aliyobakiza kuishiKuna interview anahojiwa kuhusu black panther 2 anasema kuwa "hajui coz anakufa"
Mimi niliamua nizipange in chronological orders ili nipate muunganiko mzuri wa stori kuanzia mwanzo mpaka mwisho..Sorry mkuu nilikusahau...
Mimi nadhani 95% ya muvi zilizotoka kwenye marvel comics ninazo. Nimekosa blade na Ghost rider tu
View attachment 2401472
Nimeipata hiyo video akiwa UN msikilize.
"In time of crisis the Wise build a bridge while fools build barriers"
Then you did it wrong unless you want to chronological arrange phase 3.Mimi niliamua nizipange in chronological orders ili nipate muunganiko mzuri wa stori kuanzia mwanzo mpaka mwisho..
Dunia inaendeshwa kwa propaganda,,,,...control the narative you have the power,,,,....Kenya na Nigeria ni nchi ambazo zina maslahi na wamagharibi, mambo mengine wanapindisha makusudi sio kwamba hawajuiAhaaa mpaka niangalie tena
Mi huwa nashangaa kila kitu Kenya kenya nishajiuliza swali mno nishaona kama series mbili tu wanataja Tanzania hiyo Blacklist na nyingine sikumbuki ni ipi
Nilinotice sana tena aliuliza Mzungu mmoja kwa kejeli...Kumbe nawe ulinotice hii kitu?? Watu hua wanaangalia tu hawafuatilii details ndogondogo.
How? Watching movies in Chronological order is best than Year of Release, sababu muvi unaiangalia from genesis.Then you did it wrong unless you want to chronological arrange phase 3.
Maana kama ungetaka kuendelea hapo ingetakiwa uongeze series za Disney+
Nchi maarufu kwa Africa huko duniani ni Nigeria, Kenya na Ghana.Ahaaa mpaka niangalie tena
Mi huwa nashangaa kila kitu Kenya kenya nishajiuliza swali mno nishaona kama series mbili tu wanataja Tanzania hiyo Blacklist na nyingine sikumbuki ni ipi
Mkuu nimeona umezipangalia kwa kulingana na Timeline as it is na sio kwa release date.How? Watching movies in Chronological order is best than Year of Release, sababu muvi unaiangalia from genesis.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Cc.
MCU fans, as i promise to write something related to BP & Chadwickfor y'all. I always keep my words[emoji3577]
Pietro Dream Queen John Joba Paula Paul Dinazarde Jorge WIP Mr Q Zyaire Ezio Auditore Zodwa Bantu lady Skylar Franky Samuel Xaph87 brAin cRacker Carleen War machine juan david Life start at 45