Preview ya Black Panther Wakanda Forever 2022

Huu uzi mtaamu sana ila thanks ndio kiboko wa superhero wote jamaa aliwakomesha na sipati kama akirudi tena ila na wasiwasi atakutana na mziki wa eternal na wala yure mchina wa 10 ring legend
 
Huu uzi mtaamu sana ila thanks ndio kiboko wa superhero wote jamaa aliwakomesha na sipati kama akirudi tena ila na wasiwasi atakutana na mziki wa eternal na wala yure mchina wa 10 ring legend
Hujakutana na Kang, Ubaya wa kang wapo wengi sana halafu wote wananguvu balaa. Hadi wana organization yao inaitwa council of Kangs.

Halafu kuna supervillain anaitwa Galactus huyu ni noma sana mazee
 
Ila mziki wetu unasafari ndefu goma la burna boy ndani ya muvi inayoenda kutengeneza $1b+ ,tuendelee na battle zetu za kijinga kokoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…