princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Haki nmeshangaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio waliileta.. Yaani waafrika wenyewe hawaamini kama wanaweza kua level ile ya maendeleo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haki nmeshangaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio waliileta.. Yaani waafrika wenyewe hawaamini kama wanaweza kua level ile ya maendeleo
Kama Thanos alikua right kuliko kupinguza nusu ya viumbe vyote kwanini asingeongeza resources mara mbili ya zilizokuwepo???kwa kila kitu
haongei sana ila
alichofanya kupunguza nusu ya ulimwengu alikuwa sahihi hadi wapuuzi wakina PP na BP walipoondoka kukawa na amani kabisa
thor akawa mlèvi
TS akatulia na mkewe hadi akapata mtoto
mambo yalikuwa safi sana yaani
Angeongeza resources emergency(celestial birth) nayo ingekuja kwa spidiKama Thanos alikua right kuliko kupinguza nusu ya viumbe vyote kwanini asingeongeza resources mara mbili ya zilizokuwepo???
Lakini mkuu Those time Thanos alikua hajui kuhusu Uwepo wa Emergency kwenye sayari. Ila alijua uwepo wa Celestials. Na hakujua pia uwepo wa Eternals.Angeongeza resources emergency(celestial birth) nayo ingekuja kwa spidi
Ameondoka akiwa na 43yrs. Kansa inatisha sana aisee kuna rafiki yangu Ke alikua na knsa kama ya Chad. Wakamkata utumbo akanionyesha picha za utumbo walioukata. Ulikua umejaa ndoo nzimaMmenikumbusha uyu jamaa daah I like him very much hakika kifo ni chawote ameondoka mapema naumia kweli nkimkumbuka cancer inatisha nyiee
Sio kweli. Si kwamba Marvel waliitengeneza kwakua watu weusi waliihitaji bali ilikua kwenye plan ya kutengenezwa since miaka ya 90sHii movie iko overrated sanaaa. Anyway ni kwasababu watu weusi waliitaji marvel movie inayowahusu wakaipata
Aisee Tafuta Attack On Titans ni Animation series. Ilai ina madini balaa.Hata mimi napenda sana dialogues ,ndio maana za kikorea hunitoi haswa historical wana madini sana .
Kumbe 43 kama kijana wa miaka 27 vile ,,, hakika cancer ni hatar kaka pia nlikua na jirani yangu aliteseka sana ukienda kumsalimia analia anasema ana imagine kifo chake akafariki mwaka janaAmeondoka akiwa na 43yrs. Kansa inatisha sana aisee kuna rafiki yangu Ke alikua na knsa kama ya Chad. Wakamkata utumbo akanionyesha picha za utumbo walioukata. Ulikua umejaa ndoo nzima
tuseme ukweli thanos kwenye 1v1 aliwapiga wote kasoro wanda peke yake ndio alikodi ndege ya kivitaLakini mkuu Those time Thanos alikua hajui kuhusu Uwepo wa Emergency kwenye sayari. Ila alijua uwepo wa Celestials. Na hakujua pia uwepo wa Eternals.
So Kupunguza nusu ya watu badala ya kudabo resources it was a dully idea. Ukizingatia hakua na uelewa wa emergency na how Emergency was depending from Life intelligence
its impossible to expand universe and galaxy.Kama Thanos alikua right kuliko kupinguza nusu ya viumbe vyote kwanini asingeongeza resources mara mbili ya zilizokuwepo???
I recommend The lastship kama ana basis ya physics and maths.Aisee Tafuta Attack On Titans ni Animation series. Ilai ina madini balaa.
Au angalia Game of Thrones taratibu tu, utapenda majibizano yao
Much obliged madame 🌹Job well done 👏👏👏 Criston Cole
Ngoja niitafute hii series mkuu napenda sana brilliant Writing ukizisikia unenjoy.I
I recommend The lastship kama ana basis ya physics and maths.
Dialogue za mule ni applications tupu✊🏿
Kang jina lake halisi ni Nathaniel Richard, Huyu jamaa ni time traveler hala ana variants wengi sana ambao kila variant ana tabia zake.Kang ni nani pale marvel kacheza movie gani
Naam Thanos alikua kakamilika kwakua Walimuaandaa toka mapema sana 2012 kaja kutokea 2018.tuseme ukweli thanos kwenye 1v1 aliwapiga wote kasoro wanda peke yake ndio alikodi ndege ya kivita
thanos alikuwa adui aliyekamilika haswa
Hapana zaidi ya kuona post na trela la Ant manKang jina lake halisi ni Nathaniel Richard, Huyu jamaa ni time traveler hala ana variants wengi sana ambao kila variant ana tabia zake.
Kang atakuwepo kwenye Ant man, loki, na nk.
Ushawahi kutazama animation ya Rick and Morty???