Preview ya Black Panther Wakanda Forever 2022

Preview ya Black Panther Wakanda Forever 2022

kwa kila kitu
haongei sana ila
alichofanya kupunguza nusu ya ulimwengu alikuwa sahihi hadi wapuuzi wakina PP na BP walipoondoka kukawa na amani kabisa
thor akawa mlèvi
TS akatulia na mkewe hadi akapata mtoto
mambo yalikuwa safi sana yaani
Kama Thanos alikua right kuliko kupinguza nusu ya viumbe vyote kwanini asingeongeza resources mara mbili ya zilizokuwepo???
 
Mmenikumbusha uyu jamaa daah I like him very much hakika kifo ni chawote ameondoka mapema naumia kweli nkimkumbuka cancer inatisha nyiee
 
Angeongeza resources emergency(celestial birth) nayo ingekuja kwa spidi
Lakini mkuu Those time Thanos alikua hajui kuhusu Uwepo wa Emergency kwenye sayari. Ila alijua uwepo wa Celestials. Na hakujua pia uwepo wa Eternals.
So Kupunguza nusu ya watu badala ya kudabo resources it was a dully idea. Ukizingatia hakua na uelewa wa emergency na how Emergency was depending from Life intelligence
 
Mmenikumbusha uyu jamaa daah I like him very much hakika kifo ni chawote ameondoka mapema naumia kweli nkimkumbuka cancer inatisha nyiee
Ameondoka akiwa na 43yrs. Kansa inatisha sana aisee kuna rafiki yangu Ke alikua na knsa kama ya Chad. Wakamkata utumbo akanionyesha picha za utumbo walioukata. Ulikua umejaa ndoo nzima
 
Hii movie iko overrated sanaaa. Anyway ni kwasababu watu weusi waliitaji marvel movie inayowahusu wakaipata
Sio kweli. Si kwamba Marvel waliitengeneza kwakua watu weusi waliihitaji bali ilikua kwenye plan ya kutengenezwa since miaka ya 90s
 
Hata mimi napenda sana dialogues ,ndio maana za kikorea hunitoi haswa historical wana madini sana .
Aisee Tafuta Attack On Titans ni Animation series. Ilai ina madini balaa.
Au angalia Game of Thrones taratibu tu, utapenda majibizano yao
 
Ameondoka akiwa na 43yrs. Kansa inatisha sana aisee kuna rafiki yangu Ke alikua na knsa kama ya Chad. Wakamkata utumbo akanionyesha picha za utumbo walioukata. Ulikua umejaa ndoo nzima
Kumbe 43 kama kijana wa miaka 27 vile ,,, hakika cancer ni hatar kaka pia nlikua na jirani yangu aliteseka sana ukienda kumsalimia analia anasema ana imagine kifo chake akafariki mwaka jana
 
Lakini mkuu Those time Thanos alikua hajui kuhusu Uwepo wa Emergency kwenye sayari. Ila alijua uwepo wa Celestials. Na hakujua pia uwepo wa Eternals.
So Kupunguza nusu ya watu badala ya kudabo resources it was a dully idea. Ukizingatia hakua na uelewa wa emergency na how Emergency was depending from Life intelligence
tuseme ukweli thanos kwenye 1v1 aliwapiga wote kasoro wanda peke yake ndio alikodi ndege ya kivita

thanos alikuwa adui aliyekamilika haswa
 
I
Aisee Tafuta Attack On Titans ni Animation series. Ilai ina madini balaa.
Au angalia Game of Thrones taratibu tu, utapenda majibizano yao
I recommend The lastship kama ana basis ya physics and maths.
Dialogue za mule ni applications tupu✊🏿
 
I

I recommend The lastship kama ana basis ya physics and maths.
Dialogue za mule ni applications tupu✊🏿
Ngoja niitafute hii series mkuu napenda sana brilliant Writing ukizisikia unenjoy.
Ushaitazama muvi ya Avangers Age of Utron ?? Hebu kaitazame uifuatilie neno kwa neno
 
Kang ni nani pale marvel kacheza movie gani
Kang jina lake halisi ni Nathaniel Richard, Huyu jamaa ni time traveler hala ana variants wengi sana ambao kila variant ana tabia zake.
Kang atakuwepo kwenye Ant man, loki, na nk.
Ushawahi kutazama animation ya Rick and Morty???
 
tuseme ukweli thanos kwenye 1v1 aliwapiga wote kasoro wanda peke yake ndio alikodi ndege ya kivita

thanos alikuwa adui aliyekamilika haswa
Naam Thanos alikua kakamilika kwakua Walimuaandaa toka mapema sana 2012 kaja kutokea 2018.
Unaweza kuhisi wanda ndio ana nguvu zaidi eti? Hujakutana na mdada anaitwa Jean Grey.
 
Kang jina lake halisi ni Nathaniel Richard, Huyu jamaa ni time traveler hala ana variants wengi sana ambao kila variant ana tabia zake.
Kang atakuwepo kwenye Ant man, loki, na nk.
Ushawahi kutazama animation ya Rick and Morty???
Hapana zaidi ya kuona post na trela la Ant man
 
Back
Top Bottom