Ni kawaida ya wabongo kudharauliana..huyo Prezzo anatukana Wabongo wakati ndo walioingia uwanjani na kufanya apate hiyo hela? Mara kujifanya MTz mara Mkeny..haina maana. Ulimbukeni wake tumeuzoea! Tunapenda cha nyumbani kwanza.
kwanza prezzo ndo domo au kwa vile nyani haoni wowowo yake.
Prezoo kitu gan yeye pia ajazaliwa na pesa achukue miaka yake minus ya diamond kwanza ndo ajue anabishana na mwanae au mdogo wake.pesa zina tafutwa kama ana busara angekaa kimya go diamond go u ll reach there...
Sidhani kama Prezzo kamuita Diamond 'domo' ili kumdhihaki...ila Diamond ana nickname hiyo ya 'domo' tangu utoto! He simply called him by his nickname..