Prezoo amtukana Diamond

Prezoo amtukana Diamond

666 chata

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
1,700
Reaction score
3,921
Jana katika ukurasa wake wa twitter rapper Prezoo wa Kenya alitoa picha kutoka kwenye gazeti la hapa nchini zikiwaonesha yeye na diamond,ambapo ndani ya gazeti ilo kulikua na maneno ya diamond akimpondea prezoo!

Prezo aliandika ivi juu ya izo picha"hahaha domo are you siriously?" tena baadae CMB akaandika ivi "you talkin about money or talkin about nonsense? Usishindane na ndovu kunya"

Huyo ndo rapper CMB Prezoo bilionaire wa kikenya mwenye mabeef mengi!
 
Inashangaza sana binadamu ambaye pia hakushiriki katika kushauriana na Mwenyezi Mungu wakati wa umbaji kumuomba ampe sura na umbo zuri analodai analo kumtusi binadamu mwenzake kuwa ana kiungo flani kibaya au mbaya wakati anajua kuwa anayemtusi hakuomba kuumbwa hivyo.
Pesa ndiyo kila kitu Diamond piga pesa kwa kutumia jasho lako ipo siku hata hao akina prezzo watakuelewa maana mwanzo ulikuwa low class sa hivi umejijengea class mpya hata unakaa na mkulu ikulu mnapiga story unakula watoto ambao wengi wangetamani kuwala lakini wanaishia kuwaona kwa TV na kwenye magazeti.......................
 
Ni kawaida ya wabongo kudharauliana..huyo Prezzo anatukana Wabongo wakati ndo walioingia uwanjani na kufanya apate hiyo hela? Mara kujifanya MTz mara Mkeny..haina maana. Ulimbukeni wake tumeuzoea! Tunapenda cha nyumbani kwanza.

kwanza prezzo ndo domo au kwa vile nyani haoni wowowo yake.
 
kwanza prezzo ndo domo au kwa vile nyani haoni wowowo yake.

Sidhani kama Prezzo kamuita Diamond 'domo' ili kumdhihaki...ila Diamond ana nickname hiyo ya 'domo' tangu utoto! He simply called him by his nickname..
 
ila nani maarufu kwa afrika? Kama pesa ata diamond anazo? Ila prezoo ni star zaidi ya diamond!
 
Prezoo kitu gan yeye pia ajazaliwa na pesa achukue miaka yake minus ya diamond kwanza ndo ajue anabishana na mwanae au mdogo wake.pesa zina tafutwa kama ana busara angekaa kimya go diamond go u ll reach there...
 
ndo wapi huku na mie nataka kwenda
 
ila nani maarufu kwa afrika? Kama pesa ata diamond anazo? Ila prezoo ni star zaidi ya diamond!
 
Sidhani kama Prezzo kamuita Diamond 'domo' ili kumdhihaki...ila Diamond ana nickname hiyo ya 'domo' tangu utoto! He simply called him by his nickname..

kwa hiyo siku nikumuita kwa hiyo nickname hatani-mind?
 
Sidhani kama Prezzo kamuita Diamond 'domo' ili kumdhihaki...ila Diamond ana nickname hiyo ya 'domo' tangu utoto! He simply called him by his nickname..

Dr Riwa, bana unanifurahisha sana.
 
Last edited by a moderator:
lakini wote ni madomo!
images.jpgprezzonvictoria.jpg
 
Back
Top Bottom