Prezoo amtukana Diamond

hapana domo la diamond lipo tofauti na prezoo, la prezoo limekaa poa kwa denda la diamond kupulizia uji wa mtoto huo ndo ukweli.

very funny indeed thanks fo md ma deu...
 
Prezzoo ana hela ndefu amezaliwa na kukulia kwenye helaa,tofauti na domo aliyeanza kushika chapaa ukubwani pia prezzo ni class wakati domo ni mbagala levo,trust m class haiji kwa kupata visenti ukubwani

Like

Regards,
Jonathan.
 
Inashangaza sana, matambo ya nn , ingien uwanjan tujuwe mkal n nan, hzo pesa n mauwa tu na kla mtu anazo, tambo zngne cio ishu,
 
Diamond hajakosea ni tambo za kikazi tuu kama tunazoziona kwa mabondia kabla ya ndondi..

Prezzo atakuwa ameelewa ila naye amecheza part yake tu....au mnataka kuniambia Prezzo hajui "domo" lake vile limekaa.....au labda kioo anachotumia ni cha "kichina"..akijiangalia inakuja picha ya Denzel Washington.......lakini no......jamaa alikuwa anajoke tu.
 

Usikute kwenye hao watoto na Irene Uwoya yupo.....shauri zako...amechukia huyo...amesema hataki kusikia kabisa mnakumbushia, yaliyotokea ni siri yao na ametumia uhuru wake wa kujinafasi.
 
ni wakati wa diamond sasa!....diamond ana umri mdogo,ametoka katika shida anatengeneza pesa yake mwenyewe kwa nguvu zake,ana muda mchache katika game kuliko huyo mbwa prezzoo lakini ana hit songs kibao,prezzoo sijui ana ngoma gani ya kuifananisha na za platinumz,......diamond ni chuma katika ukanda huu wa africa mashariki naamini diamond angekuwa mkenya basi haters wote wake wa kibongo wangekuwa fans wake!......prezzoo na wajinga wengi chuki kwa diamond ni kwasababu mkali platinumz ni msanii pekee katika ukanda huu wa east africa anayeongoza kula watoto wazuri wenye majina.........................................................
 
Watu wanafiki anayesema prezzo hana ela za kutafuta nani?mngejua idadi ya show alizopiga na anacholipwa mngekaa kmya.alafu dili alizopata baada ya bba,acheni kudanganyana
 
Watu wanafiki anayesema prezzo hana ela za kutafuta nani?mngejua idadi ya show alizopiga na anacholipwa mngekaa kmya.alafu dili alizopata baada ya bba,acheni kudanganyana

kuna watu humu ndani wanaongea wasichokijua
 
Watu wanafiki anayesema prezzo hana ela za kutafuta nani?mngejua idadi ya show alizopiga na anacholipwa mngekaa kmya.alafu dili alizopata baada ya bba,acheni kudanganyana

Hatudanganyani Prezzo wa kawaida tu, we unajua pesa anazolipwa diamond? diamond naye anapiga shoo chache? kumbe dili kapata baada ya kwenda kuuza mwili wake BBA eeeeeeeh, tunataka wasanii ambao wameinvest vipaj na muda wao katika muziki na tunayaona mafanikio yao mf; P.square, Jaguar, diamond sio huyu pesa kazikuta za familia anajifanya ye ndo kama mungu mdogo ivi, unawaona watu kama kina falii pupa , chamelion ni vipaji vyao vimewafanya wawe na mkwanja Mrefuuu , PREZZO KIPAJ CHA RANG NDO MAANA KILA MUDA BIFU ILIZIMUWEKE JUU, Yeee Miaka Kibao Kwenye Gem, Diamond Miaka Mitatu anaanza kugombana naye si umbulula uwo, MKUBWA kichwani maji , kwa diamond atasubiri sana kipaj ndo kinaonge sio pesaaaa
 
Wacha uboya, haijalishi hela umeikuta au umeitafuta, zote ni hela, stop hating n work your ass out...wabongontunapenda porojo sana

Nasubiri uniambie maana ya work your ass out,bro!
 
Wenzao ulaya wakifanya beef wanauza huu ni ujinga beef zisizokuwa na hela
 
Nilimuona huyu Prezoo anahojiwa na Mboni,akasema kwamba alimpa pesa Alicia Keys,lakini Alicia Keys akakataa akamwambia akawape maskini,
kwa hiyo yeye Prezoo hakupenda hicho kitu alimmind A.Keys!
 
kwani diamond na prezo ndio kina nani
 
Hujafa hujaumbika....usitukane wakunga na uzazi ungalipo....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…