kbosho
JF-Expert Member
- Jun 4, 2012
- 13,034
- 6,571
hapana domo la diamond lipo tofauti na prezoo, la prezoo limekaa poa kwa denda la diamond kupulizia uji wa mtoto huo ndo ukweli.
very funny indeed thanks fo md ma deu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana domo la diamond lipo tofauti na prezoo, la prezoo limekaa poa kwa denda la diamond kupulizia uji wa mtoto huo ndo ukweli.
Prezzoo ana hela ndefu amezaliwa na kukulia kwenye helaa,tofauti na domo aliyeanza kushika chapaa ukubwani pia prezzo ni class wakati domo ni mbagala levo,trust m class haiji kwa kupata visenti ukubwani
mhu!!!!
kama ni madomo mbona wote yanafanana.!!
Inashangaza sana binadamu ambaye pia hakushiriki katika kushauriana na Mwenyezi Mungu wakati wa umbaji kumuomba ampe sura na umbo zuri analodai analo kumtusi binadamu mwenzake kuwa ana kiungo flani kibaya au mbaya wakati anajua kuwa anayemtusi hakuomba kuumbwa hivyo.
Pesa ndiyo kila kitu Diamond piga pesa kwa kutumia jasho lako ipo siku hata hao akina prezzo watakuelewa maana mwanzo ulikuwa low class sa hivi umejijengea class mpya hata unakaa na mkulu ikulu mnapiga story unakula watoto ambao wengi wangetamani kuwala lakini wanaishia kuwaona kwa TV na kwenye magazeti.......................
Tena mi Nona LA Prezoo ndo kubwa chapatti 4 anakunja!mhu!!!!
kama ni madomo mbona wote yanafanana.!!
Watu wanafiki anayesema prezzo hana ela za kutafuta nani?mngejua idadi ya show alizopiga na anacholipwa mngekaa kmya.alafu dili alizopata baada ya bba,acheni kudanganyana
Watu wanafiki anayesema prezzo hana ela za kutafuta nani?mngejua idadi ya show alizopiga na anacholipwa mngekaa kmya.alafu dili alizopata baada ya bba,acheni kudanganyana
Wacha uboya, haijalishi hela umeikuta au umeitafuta, zote ni hela, stop hating n work your ass out...wabongontunapenda porojo sana
hapana domo la diamond lipo tofauti na prezoo, la prezoo limekaa poa kwa denda la diamond kupulizia uji wa mtoto huo ndo ukweli.