Prezoo amtukana Diamond

Prezoo amtukana Diamond

Diamond ndo alianza kusema mbofu.,mfundisheni dogo kuongea na media Aache sifa za kijinga.
 
domo la diamond km beseni cku akifa napga mziki had asubuh kitaani
 
Mwanaume hasifiwi kwa hela za kuzikuta, anasifiwa kwa hela alizotafuta mwenyewe! Kwamba Prezzo mkwanja amekua nao inathibitisha kwamba kwamba Platinumz ni kidume coz' jamaa katokea from the scratch na bado katoboa! Na ukiondoa ukweli kwamba Prezzo kaingia kwenye game siku nyingi wakati Diamond just three years ago, basi hapo Diamond anakuwa juu zaidi labda useme kwamba mchiz amedumu kwa game for so long wakati no guarantee kama Diamond nae anaweza ku-survive muda mrefu kama Prezzo!

Nani kakudanganya Domo kaanza mziki miaka 3?sema katoka miaka3 sio kuanza.
Kama hela umezikuta kwa wazazi wako ndo uziache au?mbona Manji na Dewji wanaziendeleza?
Wazaz wake Prezoo wakati wanatafuta money ye wazazi wake walikua wanacheza Golori na Rede.
 
ni wakati wa diamond sasa!....diamond ana umri mdogo,ametoka katika shida anatengeneza pesa yake mwenyewe kwa nguvu zake,ana muda mchache katika game kuliko huyo mbwa prezzoo lakini ana hit songs kibao,prezzoo sijui ana ngoma gani ya kuifananisha na za platinumz,......diamond ni chuma katika ukanda huu wa africa mashariki naamini diamond angekuwa mkenya basi haters wote wake wa kibongo wangekuwa fans wake!......prezzoo na wajinga wengi chuki kwa diamond ni kwasababu mkali platinumz ni msanii pekee katika ukanda huu wa east africa anayeongoza kula watoto wazuri wenye majina.........................................................

Wema au?kweli we chongo
 
Nimemsikia diamond akiongea leo redioni,na kwa kwel nimeappriciate alichokisema dogo.kiufupi kaumia kwa kile alichokiandika prezzo
 
Nani kakudanganya Domo kaanza mziki miaka 3?sema katoka miaka3 sio kuanza.
Kama hela umezikuta kwa wazazi wako ndo uziache au?mbona Manji na Dewji wanaziendeleza?
Wazaz wake Prezoo wakati wanatafuta money ye wazazi wake walikua wanacheza Golori na Rede.

m.a.t.a.k.o
 
Kiboko ya Prezzoo ni Jaguar! Ngoja nimuite!!
 
ni sawa na kulinganisha mlima kilimanjaro na kichuguu. domo ni kichuguu tu!. mia
 
Prezzo namba nyingine ile uwezi kifananisha na Domo kabisaaa. Japo mkwanja wa Ulithi je unajua show moja anapiga kwa shs ngapi? Mim mtanzania but Domo simpendi....
 
Huwa simpendi diamond na sijawahi kuwa shabiki wake ila dogo anajua kuzikonga nyoyo pamoja na domo jaba lake. Prezzo nimejaribi kusikiliza nyimbo zake hazina muwasho viiiilllleee (hii hainifanyi nisimpende. kuliko niwe shabiki wa diamond bora niwe shabiki wa Prezzo hata kama si mkongaji kiviiiiile).
 
Back
Top Bottom