Diamond yuko, hzo hela prezzo kazkuta diamond ka fight co wa kiume ni diamond tuache majungu
Diamond kaanza ln na prezoo kaanza ln?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond yuko, hzo hela prezzo kazkuta diamond ka fight co wa kiume ni diamond tuache majungu
All I meant is, let it go and work hard......it doesn't matter how one got money and we can't justify that, bottom line they have cash, not ours.
Naona humu hatutaelewana,sasa unanikumbusha leo work hard,kwani mi nakula kwako?
Kijana, hili ndo tatizo letu tulio wengi, hatuukubali ukweli....usijali, pole.
Sasa nikubali nini unachoniambia,hunijui,I´m working so hard than you thing about,we ni kula kulala,ndo maana unakumbuka leo.
Sasa nani mjanja? Prezzo fedha kaikuta ready made Mr domo Ni selfmade mi nadhani Diamond mjanja no matter nani ana fedha zaidi
Inashangaza sana binadamu ambaye pia hakushiriki katika kushauriana na Mwenyezi Mungu wakati wa umbaji kumuomba ampe sura na umbo zuri analodai analo kumtusi binadamu mwenzake kuwa ana kiungo flani kibaya au mbaya wakati anajua kuwa anayemtusi hakuomba kuumbwa hivyo.
Pesa ndiyo kila kitu Diamond piga pesa kwa kutumia jasho lako ipo siku hata hao akina prezzo watakuelewa maana mwanzo ulikuwa low class sa hivi umejijengea class mpya hata unakaa na mkulu ikulu mnapiga story unakula watoto ambao wengi wangetamani kuwala lakini wanaishia kuwaona kwa TV na kwenye magazeti.......................
Hate him or love him but Tanzanian hit-maker Diamond Platnumz (Naseeb Abdul) has won the hearts of many East Africans in a way no other artist from this region has. The closest rival is Ugandas Jose Chameleone whose loyal fans stalk him wherever hes performing.Jana katika ukurasa wake wa twitter rapper Prezoo wa Kenya alitoa picha kutoka kwenye gazeti la hapa nchini zikiwaonesha yeye na diamond,ambapo ndani ya gazeti ilo kulikua na maneno ya diamond akimpondea prezoo!
Prezo aliandika ivi juu ya izo picha"hahaha domo are you siriously?" tena baadae CMB akaandika ivi "you talkin about money or talkin about nonsense? Usishindane na ndovu kunya"
Huyo ndo rapper CMB Prezoo bilionaire wa kikenya mwenye mabeef mengi!
Hate him or love him but Tanzanian hit-maker Diamond Platnumz (Naseeb Abdul) has won the hearts of many East Africans in a way no other artist from this region has. The closest rival is Ugandas Jose Chameleone whose loyal fans stalk him wherever hes performing.
Back to Diamond; he was recently in Congo and boy did the crowd come out to at least just catch a glance of this Bongo thoroughbred. I have only seen the likes of Justin Bieber and Jay Z attract such a huge crowd. Complete with security provided by the army, fans in their huge numbers lined-up on the roadside to welcome him.
Diamond brought the traffic to a standstill when fans crowded around the hotel where he was staying when he stood at the balcony. But I wonder whether he can pull such a crowd if he were to perform in Nairobi.Why Diamond is East Africa's Biggest Crowd-Puller | Ghafla!Kenya
LINK YA HABARI YOTE (https://www.jamiiforums.com/celebri...ond-is-east-africas-biggest-crowd-puller.html)
Najua sana ndio maana nimeweka link ya hiyo thread yenyewe mwisho. Kwa kuwa nawe ni great thinker ukakurupuka ukafikiri sikujua kwamba ilishawekwa hapa jamvini .Jaribu tena baadaeichi ulichokipest hapa kilishatolewa kama wiki sasa imepita sa sijui we ulizani ni suprize?? Its not the matter of hating or discourages that we discousin about we just share some views btn thats two guyz!!