Prezoo vs Chagga Barbie: Acha movie iendelee

Prezoo vs Chagga Barbie: Acha movie iendelee

Unatafuta bwana?

Hata wana JF huwa wanajiuliza pia yule mtoto ni wa Ruge au Prince Ridhiwani?

Mtoto yupi huyo Matola? hahahaha leo umevutia cha wapi....cha brazil au cha arachuga?
 
Last edited by a moderator:
Unatafuta bwana?

Hata wana JF huwa wanajiuliza pia yule mtoto ni wa Ruge au Prince Ridhiwani?

ahaaaaa naanza kupata picha ingawa vipande havijaunga mwageni mchele basi jamani
 
***** zao wote prezzo na chaggabitch wake, tushachoka na muvi zao
 
ameamua kurudi kwa mwenye Kibamia tena!!!!!!!!!!!!!!!

Mwenzangu. .. itakuwa kapata dawa ya kukikuza. Duniani hapa usitukane wakunga na uzazi ungalipo... amejiaibisha tu mwenyewe. Mtu mzima hovyo
 
Back
Top Bottom