Prezzo anaitwa KING MUSWATI

Great Cbn

Senior Member
Joined
Jun 22, 2013
Posts
165
Reaction score
43
Msanii Prezzo amefananishwa na king muswati kwa tabia yake ya kuwa na mausiono na madem wengi mfano inasemakana alikua na mausiano na gold , diva, na yule mshiriki wa BBA toka kenya jina nimelisahau , ila prezzo anajiamini sana aliulizwa kwenye hot mix nani kamshawishi kufanya muziki kasema yeye mwenyewe kajishawishi, nan Lol Modo wako akasema mimi mwenyewe, nikiangalia kwenye kioo namuona lol modo wangu, akaulizwa diamond kakufuka kwenye tamasha la matumaini kasema hawezi kujua, mashabiki ndo wanajua.
 
wasanii wengi wakijua washaungua kazi wanayofanya ni kutembea na warembo wakali wenye kushoboka. natumain mmeelewa nin nimesema hivo ni jukumu la warembo kuchukua hatua na nyie maboyfriend wao mchukue hatua lasivyo mtaungua pia.
 
Good point,i know the person,anachofanya ni kus....a,lakini wengi hawajui hili jambo,baadae watajua na watakuja juta kama wale walioduu na mac muga,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…