Msanii Prezzo amefananishwa na king muswati kwa tabia yake ya kuwa na mausiono na madem wengi mfano inasemakana alikua na mausiano na gold , diva, na yule mshiriki wa BBA toka kenya jina nimelisahau , ila prezzo anajiamini sana aliulizwa kwenye hot mix nani kamshawishi kufanya muziki kasema yeye mwenyewe kajishawishi, nan Lol Modo wako akasema mimi mwenyewe, nikiangalia kwenye kioo namuona lol modo wangu, akaulizwa diamond kakufuka kwenye tamasha la matumaini kasema hawezi kujua, mashabiki ndo wanajua.