Priceless PR: Kenya Airways yapata sifa bila kulipia

Priceless PR: Kenya Airways yapata sifa bila kulipia

Kafrican

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
7,251
Reaction score
7,037
Yanii free publicity kwa siku nzima vituo vya habari vya kimataifa vililazimika kufwatilia na kuitangaza ndege ya KQ iliosafiri kutoka Nairobi hadi UK.


Kweli jkia is a hub: Waziri flani (priti patel) wa UK alikua akisafiri kwenda Uganda kutoka UK, alitumia ndege ya KQ Ambayo ni dreamliner 787-8 hua inapitia nairobi kabla kufika entebe.
Lakini kabla kufika Uganda, aliarifiwa na waziri mkuu wa UK arudi mara moja kwa tuhuma za kufanya mikutano bila idhini ya serikali wakati flani...

Baada ya habari hizo kufikia wanahabari, ilikua inatarajiwa akirudi UK anaenda kufutwa kazi, ndege aliokua akirudi nayo ilikua inafwatiliwa in real-time wakitumia Radar , zaidi ya watu 22,000 huko UK walikua wanafywatilia safari yake live wakirumia hashtag ya kuchekesha ya [HASHTAG]#HasPritiPatelLandedYet[/HASHTAG] . Vyombo vya habari navyo vilikua vinafwatilia hio ndege tangu iko Nairobi hadi ilipptua london huku wakipatiana update kila baada ya mda ...

Huku hayo yote yakiendelea KQ dreamliner ilikia inajitangaza (bila kulipa chochote) na kuonelana kote duniani na mamilioni wanaotazama runinga. Kuna wengi huko nje walikua hawaijui brand ya KQ na hivi sass wanaijua, Ahsante sana pritiPatel kwa kuchagua KQ ulippfutwa kazi.

KQ100 looking majestic! dreamliner hii ya London-Nairobi inapelekwa na crew ya wanawake pekee kutoka pilot,copilot,flight attendants...
No title(265).jpg
No title(266).jpg
No title(267).jpg
No title(268).jpg
No title(269).jpg
No title(270).jpg
No title(271).jpg
No title(272).jpg
No title(273).jpg
No title(274).jpg
 
Back
Top Bottom