D2050
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 1,919
- 1,094
Wadau naomba kuuliza hii taasisi ya PRIDE imefilisika? Nauliza haya kwasababu siku hizi wamekuwa wakisua sua sana kukopesha Pesa. Inafikia kipindi hadi mkopoji had I wa tsh300000 inawachukuwa mwezi mzima kutompa mkopaji mkopo anaoomba
Hili limekuja baada tu ya Raisi Magufuli kuingia madarakani au viongozi wa hii taasisi nao walikuwa wanaendesha kwa Pesa za magumashi?
Hili limekuja baada tu ya Raisi Magufuli kuingia madarakani au viongozi wa hii taasisi nao walikuwa wanaendesha kwa Pesa za magumashi?