Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Kiongozi wa kundi la Wagner linaloshirikiana na jeshi la Urusi katika vita pamoja na kujifanya ni mropokaji lakini ni mzalendo sana wa nchi yake.
Baada ta vita kuwa vigumu Ukraine imekuwa ikitafuta kila njia kuwagombanisha warusi ili ipate kusonga mbele. Kwa njia hiyo wamekuwa wakitumia maneno ya kiongozi wa Wagner bila tahadhari. Bahata mbaya kwao ni kuwa kila wanapotangaza alilozungumza dhidi ya jeshi la Urusi ndio muda ambapo anaongeza mapigo na kuzidi kumega ardhi ya Ukraine.
Juzi tena Prigozin alisema ataondosha watu wake ikiwa hatopewa silaha kuiteka Bakhmut yote kabla ya tarehe 9 mwezi huu.Baada ya kuona kinyume chake kila mara safari hii vikosi vya Ukraine vimeweza kupeleleza na kuona badala ya kuonesha dalili za kuondoka kumbe ndio anaongeza wapiganaji na wala hana upungufu wowote wa silaha.
WAMEKIRI KULIONA HILO HAPA
www.aljazeera.com

Ukraine says no sign of Russia’s Wagner force Bakhmut withdrawal
Ukraine military officials say Wagner fighters are being sent to Bakhmut to reinforce their positions, not withdraw.