Prigozin wa Wagner anavyowachezea akili Ukraine

ni miezi zaidi ya mi3 sasa Urusi ame kwama apo bhakmut ukweli ni kwamba jamaa wamezidiwa hata ukitazama hizo video kwa umakini utagundua kuna tatizo sio hiz propaganda mnazo zitengeneza nyie ProRussia

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
Amezidiwa kivipi wakati warusi wameshachukua 95% ya bachkmut ebu ongea Kwa facts Ili usijiaibishe.
 
Kile walichokuwa wakikihofia Ukraine na ndicho walichotahadharishwa mapema kuwa wasitumie nguvu kubwa kubaki Bakhmut wataangamizwa na kushindwa kuilinda miji ya jinani ndicho kinachotokea sasa.Warusi wanajifanya wapo mara wataondoka Bakhmut lakini nguvu kubwa imeshapelekwa miji ya jirani .Kinachofanyika Bakhmut sasa si vita tena bali ni kulinda mji na kuwatega askari wa Ukraine ambao hawawezi tena kutoboa ngome za Urusi kwani wapo katikati ya mji
 
Back
Top Bottom