Prigozin wa Wagner anavyowachezea akili Ukraine

Wale walioenda Iraq,Libya walikua na huruma?

Dunia imempigia saluti Putin kwenye uwanja wa mapambano,hakuna umwagaji damu Kwa raia na hili amelifanya Kwa uangalifu mkubwa unaosababisha vita kuchukua muda mrefu.
Sidhani kama unazo taarifa ya yaliyotokea huko Bucha na sehemu zingine za Ukraine.!!!
 
Watu wa hivi waga hawana lolote ila ni wanafiki tu, huwezi kusema kwamba mimi siko kwa Mungu wala kwa shetani ila niko katikati.

Muongo na mnafiki mkubwa.

Well si wote wako hivyo. Ndio maana kwenye mgogoro huu tanzania kama nchi ilichagua kuto kuunga mkono hii vita au kukubali. Ilibaki katikati

Si lazima uwe pande yoyote, unaeza kubaki na msimamo wa kati.
 
Ndio ubeberu na ubepari unavyotaka "Maslahi mbele".
 
Wale walioenda Iraq,Libya walikua na huruma?

Dunia imempigia saluti Putin kwenye uwanja wa mapambano,hakuna umwagaji damu Kwa raia na hili amelifanya Kwa uangalifu mkubwa unaosababisha vita kuchukua muda mrefu.
Putin yupi?
 
Katika mapambano ushindi huja pale unapofanikiwa kumshawishi au kumchagulia adui yako uwanja wa mapambano! Russia katika mapambano anaogopeka na huu ndio ukweli, hivyo kupigana nae lazima umvizie ama uumpige kwa mbali! Anachofanya huyu kiongozi wa Wagners ni kujivua umwamba na kulivua jeshi la Russia uhalisia wake! Sasa kama ma gerelai wa ukraine au NATO au hao wengine wakaingia mkenge kwa hisia za furaha wanaweza kufanya maamuzi yatakayo wagharimu saana! Hapa silaha Russia na Wagners leaders wanayoitumia ni ya saikolojia zaidi na furaha! Ndio maana unaambiwa usiahidi kitu ukiwa na furaha sana au ukiwa na hasira! Hivi vitu vikikuondoka unaanza kuwaza upya!
Kwa ufupi kuna kazi wanataka kuimaliza ila ili imalizike nilazima vita vipiganwe na wakupigana nae nikama kaenda likizo , sasa ili aje dawa nikumtongoza kwa kumuhadaa kama hivi!
Ni mtazamo tuu!!
 
Kutoka kuja kichwa kichwa na kuanza maigizo , bado huoni kuwa Urusi mbinu zake zinafeli na anabidi aji update kila mara , popote penye mafanikio huez badili mbinu
 
Ndio maana BIDEN alitangaza Urusi anataka kuivamia Ukraine licha ya Putin kukataa na mitahira yake kuita ni propaganda ila ilikuja tokea kwel , west wapo far ahead
 
Mungu usimfananishe na hawa kenge.Binadamu wenzangu. Mimi ninamuamini Mungu.Ila kuhusu hawa Kenge ni kutokana na habari iliyo mbele,nitatoa maoni yangu. Obviously yatamfavor mmoja wao.
Ona sasa unavyojichanganya..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…