Primal, season moja kali sana

Very far from the truth! Mimi naangalia movie zenye element za uhalisia tu
Hata yale magazeti kama ya sani na bongo huwezi kuyasoma? Maana yale mazoezi ya mabush stars hayana uhalisia kabisa. unaweza kucheki Sci-fi movies kama Avatar?
 
Sasa mkuu utafananisha hiyo series na takataka gani za kikorea unazoangalia?
Mimi animation nazikubali and my favorite ni madagascar escape ikiongozwa na my favorite character king julian.
Ila series nazopenda ni kama House of the dragons, Spartacus, Game of thrones, Slave hunter, Jumong, yani zile zenye theme za kizamani zamani hapo ndipo naenjoy.
Series zenye theme za kisasa napenda za mission za kijeshi
 
Cheki na hiyo Primal. Ya kitofauti sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…