Prime Chuji Vs Prime Feitoto: Unamchagua nani kwenye kikosi chako?

Prime Chuji Vs Prime Feitoto: Unamchagua nani kwenye kikosi chako?

Mario Kempes

Member
Joined
Jun 29, 2021
Posts
63
Reaction score
122
Me naenda na Chuji, najua ataniofa machaguo mengi ndani ya kikosi changu, kwanzia kukaba, kuchezesha timu na hata kuamua mechi iisheje!

Wewe unamchagua nani?
 
Fei toto ni average player ana mechi moja moja anazocheza vizuri sana ila mechi nyingi huwa ni wa kawaida. Labda utaje ni msimu ambao Feitoto unaona aliwaka?
 
Me naenda na Chuji, najua ataniofa machaguo mengi ndani ya kikosi changu, kwanzia kukaba, kuchezesha timu na hata kuamua mechi iisheje!

Wewe unamchagua nani?
Usifananishe Chuji na vitu vya kijinga.Kwangu mie Chuji ni moja kati ya viungo bora kabisa kuwahi kutokea katika ligi kuu ya TZ. Alikuwa full package mwamba yule.
 
Usifananishe Chuji na vitu vya kijinga.Kwangu mie Chuji ni moja kati ya viungo bora kabisa kuwahi kutokea katika ligi kuu ya TZ. Alikuwa full package mwamba yule.
Kwa viungo wa nje chuji alikuwa sawa na yule wa simba aliyefariki kwa ajali. Ni mtazamo wangu tu.
 
Pengine mimi sikioni wanachoona wenzangu lakini kwangu mimi Feisal ni mchezaji wa kiwango cha kawaida sana labda gofauyi yake ni kuchszea yanga lakini hana maajabu
 
Fei wa kawaida mbele ya chuji. Leo Yanga ikifanikiwa kumnasa Mercy Ngimbi au pengine ingekuwa na Carlinhos. Huenda tungemshuhudia Fei akiwa kwenye bench. Ngimbi na Carlinhos ni watu wenye akili ya mpira, watu wenye mentality ya ushambuliaji muda wote, kitu ambacho fei bado hana kwa sasa.
 
Back
Top Bottom