Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Nalipenda sana Hili somo la historia mkuu,kama unavitabu vya soft copy naomba unitumie mkuu.Pamoja sana karibu na wewe kwa mchango wako zaidi kuhusu historia
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nalipenda sana Hili somo la historia mkuu,kama unavitabu vya soft copy naomba unitumie mkuu.Pamoja sana karibu na wewe kwa mchango wako zaidi kuhusu historia
kweli mkuu ni muda wa kujitambua na kufuatilia ukweli uliofichwa kuhusu historia ya mtu mweusiHii elimu tusisubiri wao waikubali, hawatosema sababu inadhihirisha ukuu wa mtu mweusi, kitu ambacho hawataki kabisa. So each one teach one.
Vizuri mkuu tunatakiwa tuendelee kusoma kwa sasa sina softcopy ila ingia google search hivi vitabu kupitia link ya goodreads utakutana na madini ya kutosha kuhusu historia ya mtu mweusiNalipenda sana Hili somo la historia mkuu,kama unavitabu vya soft copy naomba unitumie mkuu.
Nalog off