Prince Dube arudisha kila kitu Azam FC, inasemekana anaenda kutafuta maisha mpya Kariakoo

Prince Dube arudisha kila kitu Azam FC, inasemekana anaenda kutafuta maisha mpya Kariakoo

salimu alute

Member
Joined
Jun 9, 2019
Posts
28
Reaction score
30
Mchezaji wa Azam FC PRINCE DUBE amerudisha kilakitu cha klabu hiyo ikiwemo nyumba na kuondoka kambini.

Dube aliiandikia klabu hiyo barua akiomba kuondoka klabuni hapo baada ya kuishi Chamazi kwa miaka 4 sasa.

Dube anahusishwa kutaka kutafuta maisha mapya ‘Kariakoo'.

dube.jpg

==

Pia soma:
 
Back
Top Bottom