salimu alute Member Joined Jun 9, 2019 Posts 28 Reaction score 30 Mar 6, 2024 #1 Mchezaji wa Azam FC PRINCE DUBE amerudisha kilakitu cha klabu hiyo ikiwemo nyumba na kuondoka kambini. Dube aliiandikia klabu hiyo barua akiomba kuondoka klabuni hapo baada ya kuishi Chamazi kwa miaka 4 sasa. Dube anahusishwa kutaka kutafuta maisha mapya ‘Kariakoo'. == Pia soma: Klabu ya Azam FC imethibitisha kupokea barua kutoka kwa mshambuliaji Prince Dube akiomba kuvunja mkataba
Mchezaji wa Azam FC PRINCE DUBE amerudisha kilakitu cha klabu hiyo ikiwemo nyumba na kuondoka kambini. Dube aliiandikia klabu hiyo barua akiomba kuondoka klabuni hapo baada ya kuishi Chamazi kwa miaka 4 sasa. Dube anahusishwa kutaka kutafuta maisha mapya ‘Kariakoo'. == Pia soma: Klabu ya Azam FC imethibitisha kupokea barua kutoka kwa mshambuliaji Prince Dube akiomba kuvunja mkataba