Prince Dube Asajiliwa Dar Young Africans

Prince Dube Asajiliwa Dar Young Africans

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,855
Reaction score
189,385
Mchezaji Bora katika kutoka Azam Fc Prince Dube amesajiliwa na mabingwa wa kihistoria Dar Young Africans.

Young Africans waendelee kuimarisha timu kwa kufanya Usajili makini bila kukurupuka.

Prince Dube amesajiliwa ataitumika Dar Young Africans kwa miaka miwili, Prince Dube anauzoefu mkubwa katika league yetu ya Tanzania tunaimani atafanya vyema hata mashindano ya nje.

Ikumbukwe hadi sasa wameendeleza ubabe wa kuchukua mara tatu mfululizo na kwa kikosi hichi hakuna team itakayoisumbua Dar Young Africans ndani ya Tanzania na African kwa ujumla.

Prince Dube ataungana na Pacome, Stephan Aziz Ki, Clatous Chota Chama, Khalid Aucho, Max, Mudathir na wengi katika kikosi cha Young Africans kwa mwaka 2024/2025 na 2025/2026.

20240707_005836.jpg
182720762.jpg
2138418868.jpg
 
Back
Top Bottom