Prince Dube Asajiliwa Dar Young Africans

Prince Dube Asajiliwa Dar Young Africans

Yanga akili kubwa, Dube na Chama wako jioni ila wataua sana vitimu kama Simba, Azam, Dodoma jiji nk ili kuprove thamani zao na kuringishia walipo. After two years wataisha kimpira na kuondolewa kupisha vifaa vingine vipya.

Yanga ina masifa sana sajili zake kwa miaka mitatu sasa zinaua upinzani wa derby.

Huyu Dube ni mtu na nusu, msimu huu tena tutaona Yanga ikiendelea kuonea tu timu zingine na labda zitapigwa 7-0
 
Mchezaji Bora katika kutoka Azam Fc Prince Dube amesajiliwa na mabingwa wa kihistoria Dar Young Africans.

Young Africans waendelee kuimarisha timu kwa kufanya Usajili makini bila kukurupuka.

Prince Dube amesajiliwa ataitumika Dar Young Africans kwa miaka miwili, Prince Dube anauzoefu mkubwa katika league yetu ya Tanzania tunaimani atafanya vyema hata mashindano ya nje.

Ikumbukwe hadi sasa wameendeleza ubabe wa kuchukua mara tatu mfululizo na kwa kikosi hichi hakuna team itakayoisumbua Dar Young Africans ndani ya Tanzania na African kwa ujumla.

Prince Dube ataungana na Pacome, Stephan Aziz Ki, Clatous Chota Chama, Khalid Aucho, Max, Mudathir na wengi katika kikosi cha Young Africans kwa mwaka 2024/2025 na 2025/2026.

View attachment 3035288
Tatizo lake pancha,ila kwenye swala kufunga sina wasi nae. Kama msimu huu hato umia, nikitizama viungo wa Yanga na ziona goli 20+ za Dube ligi kuu.
 
Hivi hakuna wachezaji wengine wazuri!

Usajili wa kimihemuko huu
 
Mchezaji Bora katika kutoka Azam Fc Prince Dube amesajiliwa na mabingwa wa kihistoria Dar Young Africans.

Young Africans waendelee kuimarisha timu kwa kufanya Usajili makini bila kukurupuka.

Prince Dube amesajiliwa ataitumika Dar Young Africans kwa miaka miwili, Prince Dube anauzoefu mkubwa katika league yetu ya Tanzania tunaimani atafanya vyema hata mashindano ya nje.

Ikumbukwe hadi sasa wameendeleza ubabe wa kuchukua mara tatu mfululizo na kwa kikosi hichi hakuna team itakayoisumbua Dar Young Africans ndani ya Tanzania na African kwa ujumla.

Prince Dube ataungana na Pacome, Stephan Aziz Ki, Clatous Chota Chama, Khalid Aucho, Max, Mudathir na wengi katika kikosi cha Young Africans kwa mwaka 2024/2025 na 2025/2026.

View attachment 3035288
Lilikua swala la muda tu
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.

1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Eng. Hersi kama unaona komenti yangu naomba siku ya Mwananchi uwaalike Simba kabisa. Baada ya hapo tukamalizane kwenye ngao ya jamii.
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.

1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
View attachment 3035294
Huyo mwamba hapo ualaza ushaanza kumnyemelea ila unaambiwa ni kinda la miaka 21 ligi ianze tu tuanze kusikia kelele za mangungu tuachie timu yetu
Ukilaza haumanishi una umri mkubwa ni sawa na mvi kuna wakati mwingine ni vitu vya kurithi mfano mimi nina 28 but nina ukilaza nina jamaa yangu mmoja yeye ana 23 anaukilaza tena ni mkubwa kuliko mimi mpango unisogelee kariba sana ndio unaona kwa mbali ila wa jamaa unaonekana wazi sana. Labda umpime na video vingine but sio kuhusu hivyo vitu
 
Back
Top Bottom