Prince Dube asipojilinda mwenyewe dhidi ya majeruhi ya mara kwa mara ndio itakuwa mwisho wa kipaji chake

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
19,582
Reaction score
14,167
Huyu bwana ni striker wa ukweli ila sasa majeruhi imekuwa donda ndugu kwake..

Kama asipojilinda na kucheza kama staa akawa anaendelea kukomaa kama anavyofanya sasa, kila siku mabeki watamkamia na kumchezea faulo.

Leo tena ameumizwa kwenye mechi na Kagera Sugar baada ya kufunga goli na kushindwa kuendelea na mechi kiasi kwamba anaweza Kaa nje Kwa miezi kadhaa..

Hii inakuja baada ya kukaa nje karibu msimu wote uliopita, jambo ambalo huenda Azam wakaona ni liability kwao.
 
Prince dube ni mchezaji mzuri san,ila me naona akianza kucheza kwa kujilinda atakuwa muoga kujituma kufunga magoli kwa hofu ya kuumizwa,
Ishu ni mabeki wengi wanakamia striker ikiwezekana amuumize aonekane amemuwin striker
Mabeki wajifunze tu hata kwa Inonga jinsi anavyocheza na mayele inaonkan anamkamia lakin siyo kivile hata kumuumiza..
 
Prince Dube toka arogwe katika mechi dhidi ya Yanga, hajaweza tena kurudi kwenye kiwango chake na majeruhi yamekuwa yakimuandama kila kukicha. Huyo ataondoka hapo kama alivyoondoka mzimbabwe mwenzake Donald Ngoma.
 
Prince dube ni mchezaji mzuri san,ila me naona akianza kucheza kwa kujilinda atakuwa muoga kujituma kufunga magoli kwa hofu ya kuumizwa,
Ishu ni mabeki wengi wanakamia striker ikiwezekana amuumize aonekane amemuwin striker
Mabeki wajifunze tu hata kwa Inonga jinsi anavyocheza na mayele inaonkan anamkamia lakin siyo kivile hata kumuumiza..
Bamutu ba congo bale abawezi kuumizana batoto ba baba mumoya,inonga na mayele bamekulia kinshasa bangali badogo kabisa
 
Kila stricker duniani kote anakamiwa,Dube ni injury plone yani miguu yake ina pancha sana kiasi kwamba anapotibiwa anapoguswa tu yeye anaumia.

Mayele amekutwa sana na mabeki hasa Inonga ila Mayele mwili wake ni mgumu na si majeruhi wa mara kwa mara.
 
Ni kweli kuna namna mshambuliaji Dube anatakiwa kuchukua tahadhari na kama ni kweli atakuwa anarogwa basi shida sana maana kaumia mechi ya kwanza tu, na kama ameshtuliwa kwenye jeraha la mwanzo basi atakaa nje muda mrefu, huenda akapita njia ya Donald Ngoma!
 
Aliwahi kufatwa na wazee wa simba kipondi Azam inakutana na yanga pale chamazi akaambiwa kuwa tayari umeshachezewa na mahasimu wenu, alichowajibu ni kuwa yy haamini uchawi!! Ile game aliumia mapema tu kabla hata dk 20 na Azam walipoteza, alikaa muda mregu nje pindi anarudi wanakutana tena na Yanga, fasta akauliza wale wazee waliokuja wako wapi..akajibiwa walishaondoka hawakurudi tena toka alivyowakataa na toka hapo dube akazidi kuwa injury prone.
 
Waliomloga ni hao hao wazee wa Simba unaowaita
 
Back
Top Bottom