The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Huyu bwana ni striker wa ukweli ila sasa majeruhi imekuwa donda ndugu kwake..
Kama asipojilinda na kucheza kama staa akawa anaendelea kukomaa kama anavyofanya sasa, kila siku mabeki watamkamia na kumchezea faulo.
Leo tena ameumizwa kwenye mechi na Kagera Sugar baada ya kufunga goli na kushindwa kuendelea na mechi kiasi kwamba anaweza Kaa nje Kwa miezi kadhaa..
Hii inakuja baada ya kukaa nje karibu msimu wote uliopita, jambo ambalo huenda Azam wakaona ni liability kwao.