The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Bamutu ba congo bale abawezi kuumizana batoto ba baba mumoya,inonga na mayele bamekulia kinshasa bangali badogo kabisaPrince dube ni mchezaji mzuri san,ila me naona akianza kucheza kwa kujilinda atakuwa muoga kujituma kufunga magoli kwa hofu ya kuumizwa,
Ishu ni mabeki wengi wanakamia striker ikiwezekana amuumize aonekane amemuwin striker
Mabeki wajifunze tu hata kwa Inonga jinsi anavyocheza na mayele inaonkan anamkamia lakin siyo kivile hata kumuumiza..
Aliwahi kufatwa na wazee wa simba kipondi Azam inakutana na yanga pale chamazi akaambiwa kuwa tayari umeshachezewa na mahasimu wenu, alichowajibu ni kuwa yy haamini uchawi!! Ile game aliumia mapema tu kabla hata dk 20 na Azam walipoteza, alikaa muda mregu nje pindi anarudi wanakutana tena na Yanga, fasta akauliza wale wazee waliokuja wako wapi..akajibiwa walishaondoka hawakurudi tena toka alivyowakataa na toka hapo dube akazidi kuwa injury prone.Ni kweli kuna namna mshambuliaji Dube anatakiwa kuchukua tahadhari na kama ni kweli atakuwa anarogwa basi shida sana maana kaumia mechi ya kwanza tu, na kama ameshtuliwa kwenye jeraha la mwanzo basi atakaa nje muda mrefu, huenda akapita njia ya Donald Ngoma!
Waliomloga ni hao hao wazee wa Simba unaowaitaAliwahi kufatwa na wazee wa simba kipondi Azam inakutana na yanga pale chamazi akaambiwa kuwa tayari umeshachezewa na mahasimu wenu, alichowajibu ni kuwa yy haamini uchawi!! Ile game aliumia mapema tu kabla hata dk 20 na Azam walipoteza, alikaa muda mregu nje pindi anarudi wanakutana tena na Yanga, fasta akauliza wale wazee waliokuja wako wapi..akajibiwa walishaondoka hawakurudi tena toka alivyowakataa na toka hapo dube akazidi kuwa injury prone.