Prince Dube ni Mchezaji mahiri asiyesemwa sana!

Prince Dube ni Mchezaji mahiri asiyesemwa sana!

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Mara nyingi utasikia hadithi na sifa kwa wachezaji wa Simba na Yanga. Ila kiukweli Mchezaji Price Dube ni bonge la Straika.

Kati ya Mastraika ambao timu nyingi na haswa Simba SC, hawatawasahau basi ni Prince Dube.
Screenshot_20230507-173504.jpg
 
Kama Dube anataka awe mfalme atue jangwani huko kwingine atakua anamfunga Simba tu
 
Dube nina uhakika ana Ndagu ya simba. Kwani kila tukikutana lazima atupige.
 
Back
Top Bottom