Prince Dube ni straika mbovu, sisi wanayanga tumepigwa mchana kweupe

Prince Dube ni straika mbovu, sisi wanayanga tumepigwa mchana kweupe

gonamwitu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
2,187
Reaction score
2,794
Haiwezekani.! Haiwezekani.!

Mechi 8 straika la mchongo mpumalelo asifunge hata goli la offside? Dube ni straika mbovu hajawahi tokea anashindwa hata na huseni mwalimu wa fountain gate? mukwala wa simba? Ateba kaja juzi tu? Dube hatukutaki kwenda zako.
 
Haiwezekani.! Haiwezekani.! Mechi 8 straika la mchongo mpumalelo asifunge hata goli la offside? Dube ni straika mbovu hajawahi tokea anashindwa hata na huseni mwalimu wa fountain gate? mukwala wa simba? Ateba kaja juzi tu? Dube hatukutaki kwenda zako.
Attention seeker....

Kolo FC mnapata tabu.
 
Yanga leo tufike makao makuu kumtoa huyo tapeli dube na injinia wake wa mchongo
 
Haiwezekani.! Haiwezekani.! Mechi 8 straika la mchongo mpumalelo asifunge hata goli la offside? Dube ni straika mbovu hajawahi tokea anashindwa hata na huseni mwalimu wa fountain gate? mukwala wa simba? Ateba kaja juzi tu? Dube hatukutaki kwenda zako.
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
JamiiForums1222824732.jpeg
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu) View attachment 3141401
Ndo namna ya kujifariji leo? 😆🤣🤣
 
Back
Top Bottom