Prince Dube ni straika mbovu, sisi wanayanga tumepigwa mchana kweupe

Prince Dube ni straika mbovu, sisi wanayanga tumepigwa mchana kweupe

Si mlimleta ili aifunge Simba...bado mission haijawa done...
Kama alivyorudishwa T.Kisinda kwa ajili ya kumkimbiza Joash Onyango. Sajili za kumfunga simba ndio zinawagharimu.
 
Kwani kati ya Prince Dube na Diarra nani ana cleansheet nyingi?
 
Wacha ale mshahala wa bure.
Ila Dube anaongea sana.
Mala kunatimu tunaambiwa tusiofunge.
Mala nikianza kikosi cha kwanza naumwa kichwa
Mala Nalogwa na wachezaji wenzangu.
 
Haiwezekani.! Haiwezekani.!

Mechi 8 straika la mchongo mpumalelo asifunge hata goli la offside? Dube ni straika mbovu hajawahi tokea anashindwa hata na huseni mwalimu wa fountain gate? mukwala wa simba? Ateba kaja juzi tu? Dube hatukutaki kwenda zako.
Apewe muda ligi ngumu sana kwa sasa
 
Jibril Silla atawatesa sana hawa kenge wa kijani. Ili asiwafunge huwa wanamwumiza na kumtoa mchezoni mapema kama wanavyofanya kwa Kibu.
 
Back
Top Bottom