Kaandamane wewe na mume wakoKama vipi wanayanga tuandamane.
Attention seeker....Haiwezekani.! Haiwezekani.! Mechi 8 straika la mchongo mpumalelo asifunge hata goli la offside? Dube ni straika mbovu hajawahi tokea anashindwa hata na huseni mwalimu wa fountain gate? mukwala wa simba? Ateba kaja juzi tu? Dube hatukutaki kwenda zako.
Na amuulize mwenzie mwasibu.Huu Uzi tutakuja kuufufua ikifika round ya pili
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Haiwezekani.! Haiwezekani.! Mechi 8 straika la mchongo mpumalelo asifunge hata goli la offside? Dube ni straika mbovu hajawahi tokea anashindwa hata na huseni mwalimu wa fountain gate? mukwala wa simba? Ateba kaja juzi tu? Dube hatukutaki kwenda zako.
Naunga mkono hoja mkuu πππNa amuulize mwenzie mwasibu.
Kaacha kabisa kuandika kuhusu yanga au wachezaji wake.
Na huu uzi tunautunza kama risiti.
Naunga mkono hoja mkuu πππNa amuulize mwenzie mwasibu.
Kaacha kabisa kuandika kuhusu yanga au wachezaji wake.
Na huu uzi tunautunza kama risiti.
Kabisa.Naunga mkono hoja mkuu πππ
Kabisa.Naunga mkono hoja mkuu πππ
Ndo namna ya kujifariji leo? ππ€£π€£Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu) View attachment 3141401
Kama alivyorudishwa T.Kisinda kwa ajili ya kumkimbiza Joash Onyango. Sajili za kumfunga simba ndio zinawagharimu.Si mlimleta ili aifunge Simba...bado mission haijawa done...