Prince Dube ni straika mbovu, sisi wanayanga tumepigwa mchana kweupe

Si mlimleta ili aifunge Simba...bado mission haijawa done...
Kama alivyorudishwa T.Kisinda kwa ajili ya kumkimbiza Joash Onyango. Sajili za kumfunga simba ndio zinawagharimu.
 
Kwani kati ya Prince Dube na Diarra nani ana cleansheet nyingi?
 
Wacha ale mshahala wa bure.
Ila Dube anaongea sana.
Mala kunatimu tunaambiwa tusiofunge.
Mala nikianza kikosi cha kwanza naumwa kichwa
Mala Nalogwa na wachezaji wenzangu.
 
Apewe muda ligi ngumu sana kwa sasa
 
Jibril Silla atawatesa sana hawa kenge wa kijani. Ili asiwafunge huwa wanamwumiza na kumtoa mchezoni mapema kama wanavyofanya kwa Kibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…